Hivi kwanini Kikwete haitwi tena Dr? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi kwanini Kikwete haitwi tena Dr?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Geza Ulole, Feb 14, 2011.

 1. Geza Ulole

  Geza Ulole JF-Expert Member

  #1
  Feb 14, 2011
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 11,053
  Likes Received: 3,977
  Trophy Points: 280
  Ni jambo la kushangaza yale magazeti yetu ya dailynews na runinga za TBC wameacha kale ka mtindo cha kumuita Kikwete Dakta aka Dr Jakaya Kikwete! kulikoni? amenyang'anywa zile shahada zake za heshima? Mteendeeni haki kama mlivyoanza kuvumisha Udakta wake inabidi muendelee hivyo hivyo au la mnamshushia heshima ati! Ushahuri tu...la sivyo mtamfanya aanze safari za kusaka udakta mwingine this time atakatika mitaa ya China na Urusi! chonde chonde mpeni heshima yake!
   
 2. Mbimbinho

  Mbimbinho JF-Expert Member

  #2
  Feb 14, 2011
  Joined: Aug 1, 2009
  Messages: 6,027
  Likes Received: 2,866
  Trophy Points: 280
  Mkuu hujui kuwa kampeni zimeisha :msela:
   
 3. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #3
  Feb 14, 2011
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,314
  Likes Received: 1,784
  Trophy Points: 280
  Jina hilo lina msimu...msimu wake bado.
   
 4. k

  kifyoga b Member

  #4
  Feb 14, 2011
  Joined: Feb 14, 2011
  Messages: 43
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  aise wakati ndio unaoamua jambo kwahiyo usishangae sana angegombea 2015 angetunukiwa uprof
   
 5. M

  Mdondoaji JF-Expert Member

  #5
  Feb 14, 2011
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Pengine matokeo ya form 4 yamemfanya atafakari kwa kina athari za kujiita dakta maana vijana washaona short cut ya kuitwa udaktari ni kuwa mwanasiasa basi unakuwa sawa sawa na mtu mwenye PhD. hahahaha
   
 6. M

  Malunde-Malundi JF-Expert Member

  #6
  Feb 14, 2011
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 1,287
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ulikuwa u-dr wa kampeni, ila hana hadhi ya kuwa dr, hakuna asiyelijua hilo
   
 7. P

  Phillemon Mikael JF Gold Member

  #7
  Feb 14, 2011
  Joined: Nov 5, 2006
  Messages: 8,853
  Likes Received: 2,426
  Trophy Points: 280
  ule U DR alipenda aitwe ili aendane na majina ya wagombea wenzake kama Profesa Lipumba NA dr Slaa
   
 8. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #8
  Feb 14, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  His Excelleny Mr President Alhaj Dr Dr Dr...
   
 9. Kichuguu

  Kichuguu Platinum Member

  #9
  Feb 15, 2011
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 7,202
  Likes Received: 863
  Trophy Points: 280
  ...............

  His Excelleny Mr President and CCM Chairman, Alhaj, Dr. Dr. Dr. Col and Professor of Ckch.
   
 10. M

  Mdondoaji JF-Expert Member

  #10
  Feb 15, 2011
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  You made my day hasa hii ya Professor of Chakachua nimeipenda sana hahaha!
   
 11. Cynic

  Cynic JF-Expert Member

  #11
  Feb 15, 2011
  Joined: Jan 5, 2009
  Messages: 5,154
  Likes Received: 628
  Trophy Points: 280
  Anapenda misifa kama huyu punguani mwenzake (RIP):

  "His Excellency, President for Life, Field Marshal, Al Hadji, Doctor Idi Amin Dada, VC, DSO, MC, Conqueror of the British Empire (CBE) in Africa in General and Uganda in Particular"
   
 12. Consultant

  Consultant JF-Expert Member

  #12
  Feb 15, 2011
  Joined: Jun 15, 2008
  Messages: 5,783
  Likes Received: 6,269
  Trophy Points: 280
  Ile ilikuwa ni janja ya kuwachanganya wananchi wajue kwamba yupo sawa na yule Phd holder.

  Dr. Kikwete and Dr. Slaa. Kazi wamemaliza na sasa anaitwa Ndugu Kikwete
   
 13. Wacha1

  Wacha1 JF-Expert Member

  #13
  Feb 15, 2011
  Joined: Dec 21, 2009
  Messages: 12,766
  Likes Received: 920
  Trophy Points: 280
  Mtu Mwizi akishajulikana hawezi kuitwa Dr. kwa sababu hata kama ameupata kihalali tayari kunakuwa na maswali mengi.
   
 14. Mzee Wa Rubisi

  Mzee Wa Rubisi JF-Expert Member

  #14
  Feb 15, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 1,754
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Kiboko yake wakiwa Prof,naye atajiita Prof,lakini bahati mbaya hagombei tena angejita prof,:clap2:
   
 15. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #15
  Feb 16, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Chakupewa HAKISTIRI MATAKWA!
   
 16. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #16
  Feb 16, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,469
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Hii imetulia.....lol.
   
 17. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #17
  Feb 16, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Kwa jinsi nchi inavyoendeshwa kiuswahili swahili lazima nafsi imemsuta kiasi cha kukosa raha ya kuitwa Dr. Cheo ambacho kwake ni halali ni Prof. wa kuchakachua.
   
 18. T

  Tikerra JF-Expert Member

  #18
  Feb 16, 2011
  Joined: Sep 3, 2008
  Messages: 1,704
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Be more objective.Hivi akiitwa Dr. au asipoitwa, wewe unapata faida gani.Kwa nini tusi-discuss mambo yenye manufaa zaidi kwa jamii?
   
 19. c

  cray Senior Member

  #19
  Feb 16, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 172
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Kwani wewe unafikiri kunatatizo gani tukijadili udokta wa kikwete, usitufanye hatujui chakudiscuss. Slaa ni Dr. wa ukweli nakikwete je? lazima tudiscuss na sio kutubana, kama wewe unaona huwezi changia au thread hii haina faida kwako, basi ipotezee.

   
 20. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #20
  Feb 16, 2011
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  hahaa kama profesa maji marefu
   
Loading...