Kigogo
JF-Expert Member
- Dec 14, 2007
- 20,504
- 6,199
Be more objective.Hivi akiitwa Dr. au asipoitwa, wewe unapata faida gani.Kwa nini tusi-discuss mambo yenye manufaa zaidi kwa jamii?
hili lina manufaa zaidi...Hafai kuitwa Dr ndo maana tuna discuss ..na manufaa yake ni kuwa hatupaswi kuchezea u Dr to that level mpaka JK anapewa U Dr