Asprin
Platinum Member
- Mar 8, 2008
- 68,273
- 96,451
hahaha! Sasa babu si itakuwa ajali hiyo vikishagongana!!
Ajali nyingine zinakuwa nzuri kiasi kwamba tunaombea zitokee tu. PM mbona haujafika.

Mmmh! mimi mwenyewe mgeni maeneo hayo miss chagga pita kipande hii
Hebu jaribu kumsaidia kijana nadhani umesikia na kuelewa maelezo yakenimekuja
Yani umeniudhi sana. Dada wa watu ana kiu we unamtolea nje. Mmepewa vífanyio mnashindwa kuvitumia wakati haviishi. Hiki K na utamu wote ile kuna mwanaume anaisusa?
Mtu asiyeitendea haki K hawezi kuwa rafiki yangu.
Ngoja niende zangu jukwaa la wakubwa nikapunguze Munkari na hasira.
Ahahaaa HV ulimpata yule MTU?
Ajali nyingine zinakuwa nzuri kiasi kwamba tunaombea zitokee tu. PM mbona haujafika.
mmmh! Bora basi zigongane hapahapa uwanjani 2taokolewa kuliko huko mafichoni hata ambulensi hamna!
Nini dada, hata mke wangu akikutaka piga mzigo.
Nina mpenzi wangu tuna mwaka sasa katika penzi letu ingawa mwenzangu anaonekana kutonijali kama mimi ninavyomjali yeye ila miezi miwili iliyopita kuna msichana mmoja alitokea kunizoea sana kushinda hata huyu mpenzi wangu,alikuwa akinijulia hali kila inapowezakana kuzidi hata huyu mpenzi wangu Baada ya wiki kadhaa kupita binti huyu aliniambia kuwa angependa tuwe wapenzi kusema kweli hata mimi nilitamani iwe hivyo lakini sikuwa tayari kumuumiza kwani sikuwa na hisia kama zake hivyo basi niliamua kumkalia kimya maana sikupenda kumuumiza kwani alikuwa ananijali sana.Ila leo alinitafuta hewani hivyo sikuwa na jinsi ilibidi tu nimwambie hali halisi ingawa aliumia sana.Ninachojiuliza hapa hivi ni kwa nini mara kadhaa unampenda mtu lakini haonyeshi kukujali je ni kwamba inawezekana kuna mtu wa pembeni au ni hulka ya mtu tu kuwa hivyo?
Yani umeniudhi sana. Dada wa watu ana kiu we unamtolea nje. Mmepewa vífanyio mnashindwa kuvitumia wakati haviishi. Hiki K na utamu wote ile kuna mwanaume anaisusa?
Mtu asiyeitendea haki K hawezi kuwa rafiki yangu.
Ngoja niende zangu jukwaa la wakubwa nikapunguze Munkari na hasira.
yani umeniudhi sana. Dada wa watu ana kiu we unamtolea nje. Mmepewa vífanyio mnashindwa kuvitumia wakati haviishi. hiki k na utamu wote ile kuna mwanaume anaisusa?
mtu asiyeitendea haki k hawezi kuwa rafiki yangu.
ngoja niende zangu jukwaa la wakubwa nikapunguze munkari na hasira.
Nina mpenzi wangu tuna mwaka sasa katika penzi letu ingawa mwenzangu anaonekana kutonijali kama mimi ninavyomjali yeye ila miezi miwili iliyopita kuna msichana mmoja alitokea kunizoea sana kushinda hata huyu mpenzi wangu,alikuwa akinijulia hali kila inapowezakana kuzidi hata huyu mpenzi wangu Baada ya wiki kadhaa kupita binti huyu aliniambia kuwa angependa tuwe wapenzi kusema kweli hata mimi nilitamani iwe hivyo lakini sikuwa tayari kumuumiza kwani sikuwa na hisia kama zake hivyo basi niliamua kumkalia kimya maana sikupenda kumuumiza kwani alikuwa ananijali sana.Ila leo alinitafuta hewani hivyo sikuwa na jinsi ilibidi tu nimwambie hali halisi ingawa aliumia sana.Ninachojiuliza hapa hivi ni kwa nini mara kadhaa unampenda mtu lakini haonyeshi kukujali je ni kwamba inawezekana kuna mtu wa pembeni au ni hulka ya mtu tu kuwa hivyo?
Haya geuka nyuma, twenzetu. Wewe mbele mie niko nyuma yako. Usalama uhakika.
Kwanini kusubiria meli airport si upande ndege tu uondoke?