mafinyofinyo
JF-Expert Member
- Nov 29, 2012
- 4,404
- 3,276
Check in.
Tehee teheee... Huyo dada unayemng'ang'ania atakupa kibuti muda si mrefu...
Kwa hiyo hapo
hajamuumiza??!! Ye mwenyewe kwenye thread anakiri amemuumiza. Si bora
angempa tam yake afanye kuja kuumia badae??? Unafikiri huyo dada
anajiskiaje sa hv baada ya kukataliwa???
Yani umeniudhi sana. Dada wa
watu ana kiu we unamtolea nje. Mmepewa vífanyio mnashindwa kuvitumia
wakati haviishi. Hiki K na utamu wote ile kuna mwanaume anaisusa?
Mtu asiyeitendea haki K hawezi kuwa rafiki yangu.
Ngoja niende zangu jukwaa la wakubwa nikapunguze
Munkari na hasira.
Unajua utaniudhi muda si mrefu?