G
guest-1786390423
Guest
Uzi mzuri sana huu. Mimi napenda kusoma vitabu na pia huwa nanunua pale bajeti yangu inaporuhusu. Ila naweza kuchangia kidogo juu hii mada.
Kwanza kabisa ubongo wa mwanadamu unapenda mambo husisimua na kumfanya mtu ajisikie furaha. Mambo hayo huhifadhiwa na ubongo hukufanya uyarudie over and over. Mfano ni kufanya ngono, kutumia madawa ya kulevya, kuscroll social media n.k
Kusoma vitabu hasa nonfiction books ni kazi kama zilivyo kazi nyingine na tena huuchosha ubongo. Inahitaji commitment kuweza kufanya hii kazi. Sababu kubwa ni kwamba tunapenda kuwa kwenye comfort zone that's why unaweza kuscroll newsfeed hata saa nzima but unashindwa kusoma kitabu cha financial management kwa nusu saa.
Nadhani sababu kubwa ni hiyo, then chini yake zitafuata uvivu, kuwa busy n.k