Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,340
- 144,838
- Thread starter
-
- #21
You guys are cowards. Period.Jeshi la polisi bongo liko tayari kupiga risasi za moto raia wasio na hatia kwa sababu ya kulinda watawala hata kama raia wana haki ya kuandamana.
Laiti Jeshi letu lingekuwa kweli jeshi la polisi la wananchi , basi raia wangetumia haki yao ya kidemokrasia kuandamana bila hofu ya kuuawa.
Usilinganishe jeshi la Polisi la SOuth Afrika na Bongo, Polisi wa kule hawako kwa ajili ya chama tawala, kwa hiyo siyo rahisi kutumia risasi za moto kama option ya kwanza , Ndiyo maana pamoja na uharibifu mkubwa ambao raia wa south Africa walifanya, Jeshi la Polisi halikuua watu wengi kivile, Sasa ingekuwa bongo Polisi wangekamata hata waliovaa rangi zinazofanana na rangi za chadema tu.
Kiufupi tu, Bongo tunatawaliwa na Mfumo wa Kijeshi linapokuja suala la kuichallenge CCM.
Acha uchochezi. Unataka watu waumizwe bure wakati hakuna cha kufia? Nchi iko huru haki ziko ila wajanja wenye kutafuta kwa migongo ya wengine ndio wanachochea kuvunja sheria na kutumia nguvu. Mambo ya zuma usilinganishe pale ni ukabila tu na kutafuta sababu ya uporaji. Kabila yake zuma wazulu ndio waliyoandamana jimboni kwao kwazulunatal. Ukitaka kulinganisha ni kwamba wachaga au wamachame ndio waandamane moshi na kupora maduka ya nani?Ni zaidi ya wiki mwenyekiti wenu Freeman Mbowe ananyea debe huko lupango.
Lakini nyie ambao mpo huru mmeridhika tu na kunung’unika kwenye mitandao.
Kwa nini hamjaingia barabarani kupigania uhuru wa mwenyekiti wenu ambaye mnasema anaonewa?
Makamanda gani mnakuwa wanyonge hivyo?
Mnaogopa nini? Mnamwogopa Bi. Mkubwa kiasi hicho?
Walau jana wale akina mama walienda kujigalagaza mbele ya ubalozi wa Marekani.
Bavicha wako wapi?
Na hao washirika wenu akina Kigogo na Shangazi wako wapi?
Wanaharakati wa kweli huwa hawajifichi nyuma ya mitandao. Bali huingia barabarani na kukinukisha mpaka kieleweke.
Lakini nyie mmekaa mmejificha tu nyuma ya mitandao na kwenye vyombo vya habari vya kimataifa!
Hamjaona jinsi washabiki wa fisadi Jakobo Zuma walivyokinukisha?
CHADEMA mnatia huruma kwa kweli.
Sawa.
Lakini hiyo bado haiondoi ukweli kwamba CHADEMA ni waoga.
Sehemu nyingi tu duniani watu huandamana kupinga uonevu.
Hosni Mubarak maandamano ndo yaliyomwondoa madarakani.
CHADEMA wanadai wana wanachama takriban milioni 5-7.
Wako wapi kupinga mwenyekiti wao kuonewa?
Ama unawatafutia uhalali wa ile bambikia,wenyewe wanasema hawadanganyiki Ngabu.Sawa.
Lakini hiyo bado haiondoi ukweli kwamba CHADEMA ni waoga.
Sehemu nyingi tu duniani watu huandamana kupinga uonevu.
Hosni Mubarak maandamano ndo yaliyomwondoa madarakani.
CHADEMA wanadai wana wanachama takriban milioni 5-7.
Wako wapi kupinga mwenyekiti wao kuonewa?
Kwani anachokisema Nyani Ngabu ni uingo? Hujasoma zile tweets kule Jamhuri ya Twitter tangu, kabla na baada ya kukamatwa Dj? Hata humu kulikuwa na nyuzi kibao ungejua kesho kinawaka mbaya😁😁😁Nyani Ngabu huwa anapenda kuanziasha mada za kuwabughudhi na kuwachokonoa Chadema kwa sababu anaongeza umaarufu wake hapa na kupata wachangiaji wengi. Hapa ukitaka kila member akujue uwe unatetea kila jambo linalofanywa na serikali hata liwe na uozo namna gani. Na wapinzani hasa Chadema wabughudhi kwa vijembe na kebehi. Trust me, jina lako litakuwa maarufu sana hapa. This is a funny side of many Tanzanians, i.e. hawajui kum-ignore mtu au kitu wasichotaka au kinachowa-irritate mioyo yao.
Ni upumbavu kuwataka Cdm kuvunja sheria ili watawala wapate sababu za kuwaumiza. Hapa ndiyo dunia inaona nani mhalifu .Ni zaidi ya wiki mwenyekiti wenu Freeman Mbowe ananyea debe huko lupango.
Lakini nyie ambao mpo huru mmeridhika tu na kunung’unika kwenye mitandao.
Kwa nini hamjaingia barabarani kupigania uhuru wa mwenyekiti wenu ambaye mnasema anaonewa?
Makamanda gani mnakuwa wanyonge hivyo?
Mnaogopa nini? Mnamwogopa Bi. Mkubwa kiasi hicho?
Walau jana wale akina mama walienda kujigalagaza mbele ya ubalozi wa Marekani.
Bavicha wako wapi?
Na hao washirika wenu akina Kigogo na Shangazi wako wapi?
Wanaharakati wa kweli huwa hawajifichi nyuma ya mitandao. Bali huingia barabarani na kukinukisha mpaka kieleweke.
Lakini nyie mmekaa mmejificha tu nyuma ya mitandao na kwenye vyombo vya habari vya kimataifa!
Hamjaona jinsi washabiki wa fisadi Jakobo Zuma walivyokinukisha?
CHADEMA mnatia huruma kwa kweli.
Kwa hiyo?Hujawahi kupona tu huo ugonjwa wa akili?
Kuandamana ni kuvunja sheria gani?Ni upumbavu kuwataka Cdm kuvunja sheria ili watawala wapate sababu za kuwaumiza. Hapa ndiyo dunia inaona nani mhalifu .
Wewe unajua wa communist walivyo wabovu katika maswala ya haki za wananchi.
Sawa.
Lakini hiyo bado haiondoi ukweli kwamba CHADEMA ni waoga.
Sehemu nyingi tu duniani watu huandamana kupinga uonevu.
Hosni Mubarak maandamano ndo yaliyomwondoa madarakani.
CHADEMA wanadai wana wanachama takriban milioni 5-7.
Wako wapi kupinga mwenyekiti wao kuonewa?
CDM ni chama cha kishamba sana kile, if you know what I mean.Ni zaidi ya wiki mwenyekiti wenu Freeman Mbowe ananyea debe huko lupango.
Lakini nyie ambao mpo huru mmeridhika tu na kunung’unika kwenye mitandao.
Kwa nini hamjaingia barabarani kupigania uhuru wa mwenyekiti wenu ambaye mnasema anaonewa?
Makamanda gani mnakuwa wanyonge hivyo?
Mnaogopa nini? Mnamwogopa Bi. Mkubwa kiasi hicho?
Walau jana wale akina mama walienda kujigalagaza mbele ya ubalozi wa Marekani.
Bavicha wako wapi?
Na hao washirika wenu akina Kigogo na Shangazi wako wapi?
Wanaharakati wa kweli huwa hawajifichi nyuma ya mitandao. Bali huingia barabarani na kukinukisha mpaka kieleweke.
Lakini nyie mmekaa mmejificha tu nyuma ya mitandao na kwenye vyombo vya habari vya kimataifa!
Hamjaona jinsi washabiki wa fisadi Jakobo Zuma walivyokinukisha?
CHADEMA mnatia huruma kwa kweli.
Kwani wanahitaji nini ili waweze kukabiliana na vyombo vya dola?Tipping point haijafika bado. Chadema hawana uwezo wa kuingia mtaani kukabiliana na vyombo vya dola. Hata wangekuwa na wanachama milioni 10 katika nchi yenye watu takriban milioni 60 bado hawawezi.
Amandla...
Kuna ujasiri na upumbavu. Hawa wafaransa wanapambana na polisi waliobeba virungu. Unataka Chadema wapambane na polisi waliobeba SMG zenye risasi za moto! Hiyo itakuwa ni madness kuifanya peke yao. Hata hii wanayofanya inahitaji ujasiri mkubwa. Wanastahili kupewa credit kwa hilo.Kwani wanahitaji nini ili waweze kukabiliana na vyombo vya dola?
Unachohitaji ni ujasiri tu. Au unasema kuwa CHADEMA hawana ujasiri?
Mbona huko kwenye nchi huwa tunaona waandamanaji wanazipiga na polisi waliovalia magwanda yao ya ghasia pamoja na ngao na virungu huku waandamanaji wakiwa na fimbo, wengine wanarusha ngumi, mateke, vipepsi, vifuti, na mawe.
Cheki hawa jamaa huko Ufaransa walivyowabananisha polisi….
Hmm…haya.Kuna ujasiri na upumbavu. Hawa wafaransa wanapambana polisi waliobeba virungu. Unataka Chadema wapambane na polisi waliobeba SMG zenye risasi za moto! Hiyo itakuwa ni madness kuifanya peke yao. Hata hii wanayofanya inahitaji ujasiri mkubwa. Wanastahili kupewa credit kwa hilo.
Amandla...
Ubambikaji huwa hautabiriki,muda wala saa umepangwa kufanyika.Hadi uwe mshirika.Kwani anachokisema Nyani Ngabu ni uingo? Hujasoma zile tweets kule Jamhuri ya Twitter tangu, kabla na baada ya kukamatwa Dj? Hata humu kulikuwa na nyuzi kibao ungejua kesho kinawaka mbaya😁😁😁
Wamebakia wadogo wadogo.Tuingie mitaani ya nini wakati Mungu yuko nasi,hakuna kazi ilio onekana ngumu kama ya kumuondosha Kibwetere mkuu,lakini Mungu alitufanyia wepesi Kibwetere mkuu leo ni Historia.
Unakosea kulinganisha Mubarak na Tanzania. Kule watu waliandamana Tahrir Square bila kupigwa risasi au kufurushwa na vifaru.Sawa.
Lakini hiyo bado haiondoi ukweli kwamba CHADEMA ni waoga.
Sehemu nyingi tu duniani watu huandamana kupinga uonevu.
Hosni Mubarak maandamano ndo yaliyomwondoa madarakani.
CHADEMA wanadai wana wanachama takriban milioni 5-7.
Wako wapi kupinga mwenyekiti wao kuonewa?
Nakupa challenge uandike mada ya kushauri non violent movement strategies ambazo wapinzani wanaweza kuwafanya CCM waheshimu haki za wenzao.You guys are cowards. Period.
You don’t want the smoke.
Waulize tena, hawakuona wafuasi wa Bobi wine huko Uganda? Eti, wanasubiri Mbowe akitoka gerezani mara atakuwa Gandhi!Ni zaidi ya wiki mwenyekiti wenu Freeman Mbowe ananyea debe huko lupango.
Lakini nyie ambao mpo huru mmeridhika tu na kunung’unika kwenye mitandao.
Kwa nini hamjaingia barabarani kupigania uhuru wa mwenyekiti wenu ambaye mnasema anaonewa?
Makamanda gani mnakuwa wanyonge hivyo?
Mnaogopa nini? Mnamwogopa Bi. Mkubwa kiasi hicho?
Walau jana wale akina mama walienda kujigalagaza mbele ya ubalozi wa Marekani.
Bavicha wako wapi?
Na hao washirika wenu akina Kigogo na Shangazi wako wapi?
Wanaharakati wa kweli huwa hawajifichi nyuma ya mitandao. Bali huingia barabarani na kukinukisha mpaka kieleweke.
Lakini nyie mmekaa mmejificha tu nyuma ya mitandao na kwenye vyombo vya habari vya kimataifa!
Hamjaona jinsi washabiki wa fisadi Jakobo Zuma walivyokinukisha?
CHADEMA mnatia huruma kwa kweli.
Kuna nyakati damu lazima imwagike ili mabadiliko yatokee!Nakupa challenge uandike mada ya kushauri non violent movement strategies ambazo wapinzani wanaweza kuwafanya CCM waheshimu haki za wenzao.
Maana wewe unaona wazi kuwa CCM wana Jeshi la Polisi lenye silaha ambazo wako tayari kuzitumia kwa raia wasio na hatia ila CHADEMA wana watu wasio na silaha. Je una mbinu gani za kutumika bila wafuasi wa CHADEMA kulazimika kumwaga damu zao?
Pona kabla uje hapa jukwaani.Kwa hiyo?