Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,174
- 143,960
Ujasiri wao ni nyuma ya keyboards tu!Now await a barrage of insults...umewatibua mwenyewe 😁😁😁
You are daydreaming. Kwakuwa wewe upo unabeba box basi unajaribu ku incite watu wafanye kuandamana na kuuwawa. What use would that be?Ni zaidi ya wiki mwenyekiti wenu Freeman Mbowe ananyea debe huko lupango.
Lakini nyie ambao mpo huru mmeridhika tu na kunung’unika kwenye mitandao.
Kwa nini hamjaingia barabarani kupigania uhuru wa mwenyekiti wenu ambaye mnasema anaonewa?
Makamanda gani mnakuwa wanyonge hivyo?
Mnaogopa nini? Mnamwogopa Bi. Mkubwa kiasi hicho?
Walau jana wale akina mama walienda kujigalagaza mbele ya ubalozi wa Marekani.
Bavicha wako wapi?
Na hao washirika wenu akina Kigogo na Shangazi wako wapi?
Wanaharakati wa kweli huwa hawajifichi nyuma ya mitandao. Bali huingia barabarani na kukinukisha mpaka kieleweke.
Lakini nyie mmekaa mmejificha tu nyuma ya mitandao na kwenye vyombo vya habari vya kimataifa!
Hamjaona jinsi washabiki wa fisadi Jakobo Zuma walivyokinukisha?
CHADEMA mnatia huruma kwa kweli.
Nyani Ngabu huwa anapenda kuanziasha mada za kuwabughudhi na kuwachokonoa Chadema kwa sababu anaongeza umaarufu wake hapa na kupata wachangiaji wengi. Hapa ukitaka kila member akujue uwe unatetea kila jambo linalofanywa na serikali hata liwe na uozo namna gani. Na wapinzani hasa Chadema wabughudhi kwa vijembe na kebehi. Trust me, jina lako litakuwa maarufu sana hapa. This is a funny side of many Tanzanians, i.e. hawajui kum-ignore mtu au kitu wasichotaka au kinachowa-irritate mioyo yao.Now await a barrage of insults...umewatibua mwenyewe 😁😁😁
Ni zaidi ya wiki mwenyekiti wenu Freeman Mbowe ananyea debe huko lupango.
Lakini nyie ambao mpo huru mmeridhika tu na kunung’unika kwenye mitandao.
Kwa nini hamjaingia barabarani kupigania uhuru wa mwenyekiti wenu ambaye mnasema anaonewa?
Makamanda gani mnakuwa wanyonge hivyo?
Mnaogopa nini? Mnamwogopa Bi. Mkubwa kiasi hicho?
Walau jana wale akina mama walienda kujigalagaza mbele ya ubalozi wa Marekani.
Bavicha wako wapi?
Na hao washirika wenu akina Kigogo na Shangazi wako wapi?
Wanaharakati wa kweli huwa hawajifichi nyuma ya mitandao. Bali huingia barabarani na kukinukisha mpaka kieleweke.
Lakini nyie mmekaa mmejificha tu nyuma ya mitandao na kwenye vyombo vya habari vya kimataifa!
Hamjaona jinsi washabiki wa fisadi Jakobo Zuma walivyokinukisha?
CHADEMA mnatia huruma kwa kweli.
Mbona ulikuwa unamshobokea da'Mange; kwani naye sio mbeba boksi?You are daydreaming. Kwakuwa wewe upo unabeba box basi unajaribu ku incite watu wafanye kuandamana na kuuwawa. What use would that be?
Kuna njia nyingi za kupigania haki na hata hizo unazosema za mtandao zinafanya kazi. Tunataka tufike wote bila kumpoteza mtu.
Until then, shut you trap.
Nyani, wale wa Sauzi ni njaa ndio iliyowatuma. Suala la Zuma ilikuwa kisingizio.Ni zaidi ya wiki mwenyekiti wenu Freeman Mbowe ananyea debe huko lupango.
Lakini nyie ambao mpo huru mmeridhika tu na kunung’unika kwenye mitandao.
Kwa nini hamjaingia barabarani kupigania uhuru wa mwenyekiti wenu ambaye mnasema anaonewa?
Makamanda gani mnakuwa wanyonge hivyo?
Mnaogopa nini? Mnamwogopa Bi. Mkubwa kiasi hicho?
Walau jana wale akina mama walienda kujigalagaza mbele ya ubalozi wa Marekani.
Bavicha wako wapi?
Na hao washirika wenu akina Kigogo na Shangazi wako wapi?
Wanaharakati wa kweli huwa hawajifichi nyuma ya mitandao. Bali huingia barabarani na kukinukisha mpaka kieleweke.
Lakini nyie mmekaa mmejificha tu nyuma ya mitandao na kwenye vyombo vya habari vya kimataifa!
Hamjaona jinsi washabiki wa fisadi Jakobo Zuma walivyokinukisha?
CHADEMA mnatia huruma kwa kweli.
Kwakuwà mnatubambikia ugaidi,kwakuwa tunadai katiba mpya.Ni zaidi ya wiki mwenyekiti wenu Freeman Mbowe ananyea debe huko lupango.
Lakini nyie ambao mpo huru mmeridhika tu na kunung’unika kwenye mitandao.
Kwa nini hamjaingia barabarani kupigania uhuru wa mwenyekiti wenu ambaye mnasema anaonewa?
Makamanda gani mnakuwa wanyonge hivyo?
Mnaogopa nini? Mnamwogopa Bi. Mkubwa kiasi hicho?
Walau jana wale akina mama walienda kujigalagaza mbele ya ubalozi wa Marekani.
Bavicha wako wapi?
Na hao washirika wenu akina Kigogo na Shangazi wako wapi?
Wanaharakati wa kweli huwa hawajifichi nyuma ya mitandao. Bali huingia barabarani na kukinukisha mpaka kieleweke.
Lakini nyie mmekaa mmejificha tu nyuma ya mitandao na kwenye vyombo vya habari vya kimataifa!
Hamjaona jinsi washabiki wa fisadi Jakobo Zuma walivyokinukisha?
CHADEMA mnatia huruma kwa kweli.
Hujawahi kupona tu huo ugonjwa wa akili?Mbona ulikuwa unamshobokea da'Mange; kwani naye sio mbeba boksi?
Nafikiri it was a post meant to be sarcastic.You are daydreaming. Kwakuwa wewe upo unabeba box basi unajaribu ku incite watu wafanye kuandamana na kuuwawa. What use would that be?
Kuna njia nyingi za kupigania haki na hata hizo unazosema za mtandao zinafanya kazi. Tunataka tufike wote bila kumpoteza mtu.
Until then, shut you trap.
We kamanda ushawahi hata kubeba bango wewe?You are daydreaming. Kwakuwa wewe upo unabeba box basi unajaribu ku incite watu wafanye kuandamana na kuuwawa. What use would that be?
Kuna njia nyingi za kupigania haki na hata hizo unazosema za mtandao zinafanya kazi. Tunataka tufike wote bila kumpoteza mtu.
Until then, shut you trap.
Jeshi la polisi bongo liko tayari kupiga risasi za moto raia wasio na hatia kwa sababu ya kulinda watawala hata kama raia wana haki ya kuandamana.Ni zaidi ya wiki mwenyekiti wenu Freeman Mbowe ananyea debe huko lupango.
Lakini nyie ambao mpo huru mmeridhika tu na kunung’unika kwenye mitandao.
Kwa nini hamjaingia barabarani kupigania uhuru wa mwenyekiti wenu ambaye mnasema anaonewa?
Makamanda gani mnakuwa wanyonge hivyo?
Mnaogopa nini? Mnamwogopa Bi. Mkubwa kiasi hicho?
Walau jana wale akina mama walienda kujigalagaza mbele ya ubalozi wa Marekani.
Bavicha wako wapi?
Na hao washirika wenu akina Kigogo na Shangazi wako wapi?
Wanaharakati wa kweli huwa hawajifichi nyuma ya mitandao. Bali huingia barabarani na kukinukisha mpaka kieleweke.
Lakini nyie mmekaa mmejificha tu nyuma ya mitandao na kwenye vyombo vya habari vya kimataifa!
Hamjaona jinsi washabiki wa fisadi Jakobo Zuma walivyokinukisha?
CHADEMA mnatia huruma kwa kweli.
Ndo mnaogopa?Kwakuwà mnatubambikia ugaidi,kwakuwa tunadai katiba mpya.
Sawa.Nyani, wale wa Sauzi ni njaa ndio iliyowatuma. Suala la Zuma ilikuwa kisingizio.
Amandla...