Hivi kwanini Africa isiungane tuwe moja? Mbona litakuwa jambo zuri mno!

One and strong Africa
is a desire for every African,
but no one to tangle the hampers.

Yet there has been progress like USA [united states of Africa under Marvus and later Under Muammar..ila zote chalii.

-Plans for a united, integrated African continent are often so lost in official rhetoric, or buried in documents. zimebakia dreams vichwani mwetu na desires tu.

Thank you.
It will happen once you know why it didn't and dare to go beyond
 
Sio East Africa tu union nyingi Africa zinaonyesha na kudhihirisha kushindwa.

Ni vipi Tanzania tunaofuata mfumo wa Uchaguzi tutaenda sawa na Arabs north sudan to mention?
And for starters this is a none-political underground movement, those participating are sworn in and undergo the initiation....this is way deep
 
Afrika kuwa nchi moja ni ngumu sana. Ugumu unasababishwa na tofauti/aina za kiuchumi zilizopo hapa Duniani. Tofauti/aina hizi za kiuchumi ni kama ifuatavyo
1: Uchumi wa kijamaa
2: Uchumi wa kibepari
3: Uchumi mchanganyo
(Mixed economy )

Katika Dunia hi kuna watemi/visiki vya uchumi wa kijamaa na uchumi wa kibepari wanaofahamika na kuvutana asubuhi, mchana, jioni na usiku kuhakikisha wanasababisha ushawishi wao unakuwa mkubwa katika mataifa mengine sio Afrika tu hi inafanywa katika nchi zote Duniani ambako wanaamini kunamanufaa mengi ya kimikakati. Mikakati ninayomanisha inaweza ikawa ya 1: Kiuchumi
2: Siasa
3: Jamii

Kwa kuzingatia aina za uchumi Afrika kuwa moja inakuwa ngumu kwasababu hata sisi wenyewe watu wa Afrika tunamitazamo tofauti kuhusu aina za uchumi wapo wanaopenda uchumi wa kibepari na wengine wanapenda uchumi wa kijamaa., sisi tu tunamitazamo tofauti bado watukutu kama Marekani na Urusi hawajaweka virusi vyao vya kutuvuruga na kupora Tanzanite, Dhahabu, Almasi, Shaba,Mafuta na gesi mbambali.

Hapa Afrika nchi zetu tunafahamiana vizuri kihistoria Baada tu yakupata Uhuru nchi zilianza kujionyesha zinapenda kufungamana na upande gani kwa mfano nchi zilizofungamana na ujamaa ni Tanzania, Zambia, Angola, Ghana na Namibia nk.

Ukweli usiopingika ni kwamba unapojionyesha kufungamana na upande fulani basi umetangaza vita na upande wa pili, na ndio maana juzi tu Donald Trump katuletea wenge wa Tanzania kisa tu tumeshirikiana na Korea Kaskazini kwenye namna gani. Fatilia vizuri nchi za Afrika zilizopigwa mkwara kushirikiana na Korea Kaskazini, nchi hizo baada ya kupata Uhuru zilikuwa na mfumo wa kijamaa na si ajabu mpaka sasa zinaendeleza mfumo huo kwa kiwango kisichooneka wakisubiri muda muafaka.

Mambo mengine yanayo pelekea Afrika kushindwa kuwa nchi moja ni :-
1: Uchu wa madaraka
2: Vibaraka
3: Unafiki
4: Ujinga
5: Mipaka ya kikoloni inayosimamiwa na sheria za kikoloni kutoka kwa watawala wa kikoloni wa zama hizo.
Kwa mfano : Afrika Mashariki tukisema tuwe nchi moja afu tufungamane na ujamaa wa Urusi kwa asilimia mia lazima tutarusha vumbi kwenye meza ya chakula ya queen Liz.
 
sijui ni nani aliweka mataifa ya waarabu ndani ya mataifa ya watu weusi,afrika haitakuja kuungana kamwe kama mataifa ya kiarabu yapo barani afrika.
njia pekee ya afrika kuungana ni kuyaondoa mataifa ya kiarabu kuwa sehemnu ya bara la afrika,tukiweza hili basi mengine yatafauta
 
Kaka mwakamajoka Asante Sana ndugu hakika tunahitaji hoja pambanuzi Kama zako...so what next...tuende tu na upepo???
 
sijui ni nani aliweka mataifa ya waarabu ndani ya mataifa ya watu weusi,afrika haitakuja kuungana kamwe kama mataifa ya kiarabu yapo barani afrika.
njia pekee ya afrika kuungana ni kuyaondoa mataifa ya kiarabu kuwa sehemnu ya bara la afrika,tukiweza hili basi mengine yatafauta
Hata wakiondoka waarabu, misikiti Ina waumini wamatumbi lukuki....huwezi wafukuza waarabu, ishu hapa Ni ku negotiate kuhusu dini
Twahitaji hekalu letu
 
Naona umewekapicha ya Nikola Tesla....nampenda Sana, a revolutionary scientist
 
Hata wakiondoka waarabu, misikiti Ina waumini wamatumbi lukuki....huwezi wafukuza waarabu, ishu hapa Ni ku negotiate kuhusu dini
Twahitaji hekalu letu
kwangu mie insu sio dini bali races za watu,huwezi ukawa na afrika mmoja huku kuna race mbili tofauti hapa namanisha black and whites
 
Kwanza kabisa,Africa is one,tunachokosa Africa ni common interest,common purpose,na common identiy.Tungeanza na free movement na free trade labda tungechangamana vizuri na hii ndoto ya One Africa ingefikiwa upesi sana
 
Back
Top Bottom