Hivi kwanini Africa isiungane tuwe moja? Mbona litakuwa jambo zuri mno!

Me kwa opinion yangu nadhan Regional Economic integration in kitu kizuri zaidi sababu data zinaonesha kwamba Bala la Africa linafanya biashara kwa asilimia ndogo sana baina ya ichi na ichi inakadiliwa kama 15% uki compare na Europe kama 70% ..kwa iyo me naona Economic integration no muhimu Kuliko kuungana Political intergration
,ndio tunapenda masuluhisho. Sio makufuli milangoni
 
Maskini wasio na nguvu ya technologia, wenye elimu duni, wenye imani za kishirikina, wenye kukumbatia ukabila na udini, rushwa na majanga mengine lukuki ni hatari zaidi wakiungana kwa influence ya kisiasa mpaka kufikia stage ya kuaminiana kwa dhati kuwa wako pamoja (Transition stage ni kipindi kigumu mno mno) Kuna nchi zina mafuta, zina gasi na madini mbalimbali....hakutakuwa na maelewano ya dhati ya resource allocation and distribution (Angalia DRC tu hapo na Sudan ya kusini ni shida sana)
Labda ungefafanua muungano upi? Kisiasa kila nchi ina vision tofauti kabisa, kiuchumi kama niliandika hapo juu masuala ya resource allocations, kiutamaduni labda kidogo tunafanana fanana ingawa kuna mataifa mengine ya africa yana mila na desturi ngumu sana sana kuziishi.
Tanzania ni Bonge la nchi..... Ukitaka kuamini hivyo tembea nchi mbalimbali za Afrika utakubaliana nami.
Asante sana ndugu
 
Haina shida lakini nadhani nahitaji wadau wenye nia na dhamira ya dhati kushirikiana nao kuendesha website iyo, ili ikishatengenezwa kuwe na mwendelezo wa watu wenye mawazo na fikra chanya za kuelimisha watu kupitia makala zitakazoandaliwa.
Wasiliana na Malcom Lumumba, Da vinci, Zitto Junior, Filipina Bellini, mi Binti Hemedi, ni watu active na serious
hahahah wewe usijitoe hapo kumbuka ndio uliebeba wazo( maono hayo) unatakiwa kua msatri wa mbele coordinate huu mpango na kuusimamia mwanzo mwisho tushirikiane
Website ilifunguliwa?
 
Ili kuingua Africa ni sharti namba moja kuunga Uchumi wa Africa, jambo ambalo likikua lifanywe na Gadaffi wa Libya , kipaumbele chake kilikua ni kutengeneza pesa Moja ya africa yenye nguvu zaidi, Wazungu waliona Nongwa wakafanya yao. Basi tena, tunaexpect kizazi chake labda kikipata Fursa ya kutawala Libya huwenda wakaja na idea ya mzee wao.
AU ni Useless katika kuijenga Africa moja .
Gadaffi nae alikua mroho wa madaraka tu alifanya Libya mali yake na familia
 
Dini kikwazo, we need to go beyond religion
Uislam hauwi kikwazo katika kuleta maendeleo katika nchi au Afrika

Lakupiganiwa zaidi
Ni kuipa uhuru akili isitawaliwe na fikra za ujinga na tamaa

ELIMU BORA
ndio ufunguo wa maendeleo,na si elimu hii tuliyonayo kwasasa

KUJIAMINI NA UZALENDO WA KWELI
 
Katika vitu ambavyo,naona vinaturudisha nyuma kwa speed ya hatari
Na tusipokuwa makini,tutazalisha watu wapuuzi zaidi hapo mbeleni

Ni huu UTANDAWAZI
Wazungu kwa ujumla wao,Baada ya wao kuishika Dunia hususan Afrika,wametuletea utandawazi,kwa lengo la kutoweza kujitambua na kukosa elimu sahihi

Muda mwingi wetu
Sisi tupo katika mitandao ya Kijamii tukifanya mambo yasiokuwa na faida

Hatujui Dunia inavyokwenda
Bali ni Upuuzi kila kukicha

Mfano mdogo
Tazama Tz yetu na magazeti,hakuna kitu wanachokishajihisha katika jamii,bali upuuzi ni mwingi kuliko maendeleo au elimu
 
Wakuu vipi kuhusu wale ndugu zetu (African Americans) wanaorudi na kutembelea hasa Ghana year of return mnawachukuliaje
 
Kuungana inawezakana ila hawa walowezi wa kikaburu na kiarabu ndio wanaifanya Africa yetu iwe na sura mbili..kama tukijiunga je, wao watakubali kuwa kama watu weusi au lah?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom