Fatima binti hemedi
JF-Expert Member
- Dec 31, 2017
- 1,665
- 2,328
- Thread starter
- #181
You need to see beyond the petty differences, na kuona mambo makuu zaidi yatuunganishayo na faida zakeHakuna Muungano wa Afica unaoweza kutokea kwa hiyari, ni Vita Pekee ndiyo inayoweza kuiunganisha Africa,
Issue iko hapa, Watanzania na wacameroun tupo tofauti sana, lakini Watanzania, Kenya, Uganda, Rwanda say east Africa tunaingiliana so ni rahisi kujiunga, then Cameroun, Nigeria, Togo, Ghana nao wanafanana wakajiunga, then unakuja DRC, Congo Braza, Gabon, Africa Kati nao wanafanana, Then Sudan, Ethiopia, Djibout, Eritrea, Somali
Kisha hizo blocks zinaforce kuungana, nchi isiyotaka inavamiwa kijeshi na inaingizwa kwenye muungano kwa lazima
Dadangu kwa hiyari hakuna nchi ya kiafrica inayoweza kukubali kuungana bila kuwa na kibali cha bwana wake (USA, FRANCE, UK nk)