Hivi kwanini Africa isiungane tuwe moja? Mbona litakuwa jambo zuri mno!

Zanzibar iwe nchi, nchi ya nani? Vizalia nyinyi vya waarabu? Mmelewa dini na matunda ya biashara ya utumwa mpaka mnasahau kwamba Zanzibar sio kwenu, kabla ya muarabu kulikuwa kuna waswahili pale, hiyo dini yenu ya myahudi ndio inakufanyeni mkatae muungano, angalia picha kubwa wewe, before,during and beyond the mosque???????
Ukiyastaajabu ya muarabu, hujayajua ya myahudi....
 
Wametubana sana, karibia nyanja zote. Akina Nyerere walikuwa na maono mazuri sana, si ya kuungana tu bali hata ya kuziboresha nchi zao, ni external forces tu zilizo haribu ndoto zetu. Halipingiki hili, mwisho kwa hoja za internal failures ni kuuawa kwa Gadaff, full stop.
Asante ndugu, fumbo liko katika dini, nyuma ya fumbo myahudi
 
Hapa ndiko ninapoona umuhimu wa eidha kumuumba upya Mungu ama kumtafuta alikojificha. Kuna mengi sana hayako sawa kabisa. Mi huwa najiuliza, hivi yule Mungu wa Tourati ndiye huyu wa leo? Utamwekaje mtu kwenye kundi la unajisi wa kutemwa mate, kutengwa na kuuliwa eti kisa ni mgonjwa wa Ukoma?

Nadhani mengine kwenye haya mabuku ni yao wenyewe. Wayahudi si wa kuaminika kabisa, acha Hitler wa pili arudi.

Afrika itaamka siku moja, lazima itaungana tu, hata kama si kwa nguvu zetu, kama ulivyokwisha ukoloni wa direct wa mzungu, na huu wa kifkra na kiuchumi utakwisha tu. Watazinguana makwao, eidha kwa kurudi dola la Urusi na wadogo zake ama hata wenyewe wa kimagharibi tu. Ipo siku tutaungana, imeandikwa, Boby alishasema.
Siku hiyo ndio hii leo imefika...amkeni jitambueni jikomboeni kwa kurudi katika nyumba yenu ya ibada
 
I can't guarrantee the failure, but in reality it can't be.

we're culturally, economically, politically (etc)tied different.

It seems pretty unlikely Africa to form one nation while the AU has proved failures.
Kama unajua nguvu iliyo katika umoja huo ninaomaanisha, a tactical strategic unity, based on a common ideology
 
Zanzibar iwe nchi, nchi ya nani? Vizalia nyinyi vya waarabu? Mmelewa dini na matunda ya biashara ya utumwa mpaka mnasahau kwamba Zanzibar sio kwenu, kabla ya muarabu kulikuwa kuna waswahili pale, hiyo dini yenu ya myahudi ndio inakufanyeni mkatae muungano, angalia picha kubwa wewe, before,during and beyond the mosque???????
And the church of course
 
I know and appreciate your concerns, but by peaceful ways or deadly covet missions we will overcome once we are together
One and strong Africa
is a desire for every African,
but no one to tangle the hampers.


Yet there has been progress like USA [united states of Africa under Marvus and later Under Muammar..ila zote chalii.

-Plans for a united, integrated African continent are often so lost in official rhetoric, or buried in documents. zimebakia dreams vichwani mwetu na desires tu.

Thank you.
 
Back
Top Bottom