zed B
JF-Expert Member
- Jul 12, 2018
- 958
- 1,058
Comment yako hii inatupa mashaka kama wewe ni ke au Me pengine uwe mwanakijiji Wa Sodoma na Gomora.Mimi huwa sizini maana sijawahi kumtazama mwanamke kwa kumtamani
Comment yako hii inatupa mashaka kama wewe ni ke au Me pengine uwe mwanakijiji Wa Sodoma na Gomora.Mimi huwa sizini maana sijawahi kumtazama mwanamke kwa kumtamani
Tatizo kila kitu mnataka msome nyuma ya karatasi wakati maandishi yako peupeComment yako hii inatupa mashaka kama wewe ni ke au Me pengine uwe mwanakijiji Wa Sodoma na Gomora.
SawaMimi huwa sizini maana sijawahi kumtazama mwanamke kwa kumtamani
Mhh! Ila mwenzako napendaga tu unavyo comment inaonekana una madoido sana.Tatizo kila kitu mnataka msome nyuma ya karatasi wakati maandishi yako peupe
Asante bossMhh! Ila mwenzako napendaga tu unavyo comment inaonekana una madoido sana.
Kabisa bebi
Hongera sanaNeno linasema hadi nimtamani, Basi sisi tunaotizama tukapenda hatuhusiki na huo uzinifu.....
Na moto wa jehanam ni mtamu piaJamani kuzini kutamu
Una mtisha banaNa moto wa jehanam ni mtamu pia
Ni vema akakumbushwa piaUna mtisha bana
Hakuna ugumu wowote, ni jinsi ulivyoiweka akili yako tu. Kuna ulazima gani wa Kumtamani kila mwanamke. Huo ni wazimu.Kwenye biblia kuna makatazo na maonyo mengi sana. Lakini hili ni katazo gumu sana kwa watu wengi. Katazo hilo kwenye kitabu cha Mathayo 5
"27 Mmesikia kwamba imenenwa, Usizini;Kwa sheria hii watu wengi sana tunazini mara nyingi sana. Kwa upande wangu kwa siku nazini 20 na zaidi kwa kutamani tu! Najua kuna watu humu wanazidi hata mara mia
28 lakini mimi nawaambia, Kila mtu atazamaye mwanamke kwa kumtamani, amekwisha kuzini naye moyoni mwake."