Hivi kwa nini Wachagga wengi meno yao ni ya rangi gold?

ukiendelea hivi na mambo ya kike utakuja sutwa na ungekuwa unaishi Magomeni wangekuposa kabisa.

Wewe kama huna majibu kaa pembeni usilete akili za kunguru..mimi nimeuliza nataka kujua
 
Wakuu wa JF.
Mimi binafsi kuna kitu kinatatiza kidogo nimejaribu kutafuta jibu nimekosa nakaona nije hapa kwa Great Thinkers..

Kwa nini Wachagga wengi meno ya rangi ya gold? Mwenye kujua naomba anijuze

kwni ujui gold ni rangi ya chapaa mkuu
 
Wakuu wa JF.
Mimi binafsi kuna kitu kinatatiza kidogo nimejaribu kutafuta jibu nimekosa nakaona nije hapa kwa Great Thinkers..

Kwa nini Wachagga wengi meno ya rangi ya gold? Mwenye kujua naomba anijuze

Wanatia meno hina!!
 
Nawe Rejao watake radhi wenyeji. Hakuna kabla la waarusha wapo maasai ama haujapitia History darasani? Na bila shaka we na huyo mwenzio ritz hamna tofauti ktk ID zenu. Meno yako mwenyewe ndiyo hivyo. Tena watake radhi mapema.
Nimejumuisha makabila yote yaliyopo Arusha..ndiyo maana nimesema waarusha! Mimi nimesoma hapo Ilboru..nilijitahidi sana kutotumia maji ya huo mto Ilboru hapo cuz nilikuwa nikiangalia majirani wote wanaotumia maji ya huo mto meno yao yamebadilika.
 
ha ha haaaa
hivi haujui kule wametoka pia wadogo zako, haaaa
hivi tuache utani
kadi yangu ya kuingilia kwenye msosi na
wa dunia iko wapi Ritz, si nitatambulishwa tu kama member wa jf.
Wakuu wa JF.
Mimi binafsi kuna kitu kinatatiza kidogo nimejaribu kutafuta jibu nimekosa nakaona nije hapa kwa Great Thinkers..

Kwa nini Wachagga wengi meno ya rangi ya gold? Mwenye kujua naomba anijuze
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom