Hivi kwa nini Wachagga wengi meno yao ni ya rangi gold? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi kwa nini Wachagga wengi meno yao ni ya rangi gold?

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Ritz, Oct 13, 2011.

 1. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #1
  Oct 13, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,674
  Trophy Points: 280
  Wakuu wa JF.
  Mimi binafsi kuna kitu kinatatiza kidogo nimejaribu kutafuta jibu nimekosa nakaona nije hapa kwa Great Thinkers..

  Kwa nini Wachagga wengi meno ya rangi ya gold? Mwenye kujua naomba anijuze
   
 2. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #2
  Oct 13, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 160
  Tutake radhi plzz Ritz!!
  Waarusha ndio wana meno ya hiyo colour!!
  Ni kwa sababu ya maji!!
   
 3. Freema Agyeman

  Freema Agyeman JF-Expert Member

  #3
  Oct 13, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 3,290
  Likes Received: 1,444
  Trophy Points: 280
  Sehemu zenye volcanic bedrocks ziko associated na Fluoride salts kama sodium fluoride na nyinginezo ambazo ni highly soluble in water. Hivyo basi, maji yanayopatikana kwenye sehemu hizi mara nyingi huwa yana high fluoride content.

  Ingawa fluoride ni muhimu kwenye mwili wa binadamu kwa kuimarisha meno na mifupa, kiwango cha juu kuzidi WHO guideline value kwenye maji ya kunywa hasa hasa ( ambayo ni 1.5 mg/l), husababisha fluorosis kama vile teeth fluorosis, bowed legs na hata skeletal fluorosis.

  Salts zinazopatikana kwenye volcanic soils pia zinakuwa associated na high fluoride concentration e.g magadi; pia mimea inayoota kwenye volcaic soils ambazo zina high fluoride content. Hivyo basi, matumizi ya magadi au chakula kilichopatikana kwenye high fluoride soils kunaweza kusababisha fluorosis hata pale mtu anapotumia maji ambayo ni fluoride free.

  Dr Riwa anaweza kuwa anajua zaidi.
   
 4. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #4
  Oct 13, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Mimi naamini unajua ila umejifanya haujui. Kwanza nipingane na wewe siyo wachaga pekeyao bali maeneo yote ambayo watu wanaishi ambako maji yake yana madini aina ya florine nyingi basi meno yao ni lazima yaathirike! Najua kabisa Rejao wachaga wanakupa sana shida sijui kwa sababu wengi wapo upinzani aka CDM!
   
 5. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #5
  Oct 13, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Wala hakuna haja ya Dr Riwa kuja, asipoelewa hapo labda ajitie kichwa ngumu.
   
 6. Wambandwa

  Wambandwa JF-Expert Member

  #6
  Oct 13, 2011
  Joined: Dec 3, 2006
  Messages: 2,240
  Likes Received: 337
  Trophy Points: 180
  Good, very good, ritz sijui kasomea nini.
   
 7. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #7
  Oct 13, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,674
  Trophy Points: 280
  Ndugu yangu Rajao, mimi nina rafiki yangu mmoja anaitwa Mallya, pamoja na wife wake kutoka Kibosho, wote meno yao ni ya Gold
   
 8. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #8
  Oct 13, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,757
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 0
  Kabisaaaaaaa!
   
 9. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #9
  Oct 13, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,768
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  wachaga wachaga wachaga mpaka mtashtukia tunawatala,,kila mmoja analeta lake
   
 10. Safety last

  Safety last JF-Expert Member

  #10
  Oct 13, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 4,224
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Wachaga tunawatesa sana makabila mengine,namshukuru mungu kuwa mchaga,chaga run this country .
   
 11. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #11
  Oct 13, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 937
  Trophy Points: 280
  uongo! hyo si sifa ya wachaga, ni ya wambulu. ila wengi hudhani wale nao ni wachaga kwa lafudhi yao na rangi. sie wachaga wa rofombo ni mmoja kati ya mia ndo huwa na mimeno grillz!
   
 12. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #12
  Oct 13, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Kila mikoa na matatizo yake hata Kigoma, wakazi wake vidole vya miguu imeharibika kutoka na funza.
   
 13. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #13
  Oct 13, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 25,576
  Likes Received: 12,860
  Trophy Points: 280
  hako kasentens ka mwishooooo!mweee!!!
   
 14. v

  valid statement JF-Expert Member

  #14
  Oct 13, 2011
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 2,737
  Likes Received: 177
  Trophy Points: 160
  wachagga tena, leo tuna meno ya dhahabu, na waarusha wawe na meno gani?
  (kiasi kidogo saaaaana cha wamachame na wakibosho ndo wenye meno haya)
   
 15. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #15
  Oct 13, 2011
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,216
  Likes Received: 10,582
  Trophy Points: 280
  mkuu nataka nikuelimishe kidogo si wachaga wenye meno ya gold ni watu wote wanaotokea arusha au kuzaliwa arusha ndo wenye meno ya gold. na hiyo inatokana na madini ya fluoride yanayopatikana kwawingi kwenye maji ya kunywa.
   
 16. Sabry001

  Sabry001 JF-Expert Member

  #16
  Oct 13, 2011
  Joined: Jun 28, 2011
  Messages: 1,064
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  kumbe we mchagga rejao? Wa wapi?
   
 17. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #17
  Oct 13, 2011
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Nawe Rejao watake radhi wenyeji. Hakuna kabla la waarusha wapo maasai ama haujapitia History darasani? Na bila shaka we na huyo mwenzio ritz hamna tofauti ktk ID zenu. Meno yako mwenyewe ndiyo hivyo. Tena watake radhi mapema.
   
 18. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #18
  Oct 13, 2011
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Mkubwa! Achana kabisa na huyu ritz,Rejao na wengine kama hao 2naowajua humu jamvini kwani majibu wanayo halafu wana2gasi hovyo humu ndani. Kama m2 kapitia shule ya msingi then vidato vingine halafu analeta topic kama hii ya ritz si ajabu tupo. Halafu naye Rejao anasema watakiwe radhi wachagga kwani wao hawana meno kama hivyo waarusha ndiyo wanayo. Nimemshangaa kidogo lakini baada ya kufikiri nikajua ndiyo walewale na inaweza ikawa ndiyo hivyo alivyo na nikamwambia hakuna kabla la waarusha bali tunayo kabla la maasai hapa Arusha na karibu wametapakaa Nchi nzima.
   
 19. Meritta

  Meritta JF-Expert Member

  #19
  Oct 13, 2011
  Joined: Apr 26, 2011
  Messages: 1,304
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  sio tu wachaga ila hata baadhi ya watu wa mbeya. hilo ni kwa sababu ya maji
   
 20. Sabry001

  Sabry001 JF-Expert Member

  #20
  Oct 13, 2011
  Joined: Jun 28, 2011
  Messages: 1,064
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  umeona eeh? Cku mchaga hajatajwa hapa jf lazma server itacorupt...!
   
Loading...