covid 19
JF-Expert Member
- May 9, 2014
- 8,036
- 20,031
Kuna mambo yanafurahisa sana wakuu..
Yaani kosa la yule jamaa ni kuwa mkweli na kuwa mzalendo kwa chama chake na taifa... serious kabisa kama taifa lenye vyombo vya dola, mahakama, serikali na watu wenye akili timamu kabisa kabisa tumeamua kuacha na kukaa kimya.
Ni aibu sana kwa vyombo vyetu vya dola usalama, jeshi , polisi na wengine kuyaachia haya mambo yaende hivi ni aibu sana sana kwa taifa tumeamua kuwa wabinafsi kuliko kuilinda Tanzania kwa nguvu zetu zote na kwa akili zetu zote.