supermarket
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 7,453
- 10,968
Siku ya kwanza kuwekwa love bite shingoni sikujua kama ilibaki alama sasa niliporudi nyumbani nikaulizwa hapo umefanya nini..nikasema nimeng'atwa na mdudu



Upo darasa la ngapi?love bite ndio vitu gani?
Umeamka na genye nn? Genye mabaya sana. Polemmh i dont believe guys kama hamjuii hii au hamjawahi date wanawake weupe kidding. Anyways ni ile watu wapo wanafanya yao then wanang'atana shingoni
you not..a true liar.am matured enough
Vitafunio vya mapenzi tehe tehe😀love bite ndio vitu gani?
Hebu tuwege na heshima jamani even once in a while post ya mwaka 2011 unakuja kunitag leo hii... grow up man achana na mimi. fanya yako yaliyokuleta mtandaoniyou not..a true liar.
a matured person will never come on public and utter such a nonsense ....... KIFUPI NI KUWA UNA HAMU NA LOVE BITES...KARIBU NIKUPE MOJA BUT THIS IS AN OFFER..AM EXPECTING NOTHING FROM THIS OFFER..JUST A LOVE BITE AND OFF WE PART WAYS.... NO STRINGS ATTACHMENT THEREAFTER.
Kaka nikiamua kusoma sasa hivi lazima itakuwa ni PhD. Ila hayo ma love bite ndio nimepata idea nayo kwenye hi thread huku mbeleni, ila sijawahi kuyaexperience.Upo darasa la ngapi?
Love bite ndo mpango mzima, mi Gf wangu huwa nampiga chata za malove bite hadi kwenye papuchi...., we unashangaa za shingoni!??Kuna teacher mmoja wa kiume wakati nipo A level, alisafiri kwenda kwa gf alikuwa mkoa mwingine ile kurudi love bite kibao mmh
Tatizo mtu hujijui kama ipo hadi uambiwe...naona it happens a lot to young peopleNawapa siri wanawake wengine ilikuficha hizi Love bite zisionekane unaweka scarf, au unazungushia mtandio shingoni kama sio kubwa sana waweza weka plasta. Its embarrassing really kuzunguka na Malove tho muda inawekwa waweza usijue coz unasikilizia tu raha ya kunyonywa baadae mkimaliza shughuli ndio unaona duuh. Na wanaume wengine akiwa anafika kileleni anapenda anyonye mahali basi akikamata shingoni ndio hizo zinazokuwa kubwa.
Young people watu wanakazana round sita za sifa kwanini wazikoseJamani mi sijawai muona mtu na hizo love bite... Au sizijui!!!?
Alafu mtu mweusi pia anaweza kua nazo?