Hivi kutembea na malove bite ni sifa au??

Hivi kutembea na malove bite ni sifa au??

Love bite, A hickey, kiss mark, love bite, or bug bite is a bruise or bruise like mark caused by the kissing or sucking of the skin, usually on the neck or arm. While biting might be part of giving a hickey, sucking is sufficient to burst superficial small blood vessels under the skin.

Hickeys typically last from five to twelve days and may be treated in the same way as other bruises. Ways to reduce the appearance of hickeys include icing recent hickeys to reduce swelling, rubbing them with a chilled spoon to break up blood clots, and applying a warm compress to older hickeys to dilate vessels and promote blood flow.

h0740DC1B
images

l-Love-bite.jpg

1346466056-screenshot.jpg

bite-your-eays-couple-love-man-woman-Favim.com-160857.jpg

hickey.jpg

love%20bite.jpg

thanks kwa picha
 
ina raha zake !! wewe utajuaje km bint alikuwa na wake wakati unamsarandia?
Kwa watu weusi LoBite hamtapata ng'oooooooooooooooo
huo ni Uhuru wa mtu na ni sawa na mtu kuvaa chain mguuni hiyo ni kuonesha kuwa yeye ni .......
Au wengine kung'ang'ania kuvaa pete kidole cha mwisho cha Uchumba
,, ........,, ....... ,, kuvaa pete ya ndoa ni kukuonesha kuwa ana mwenzake

kwa hiyo Love bite ni kuwa KATA TAMAA MWENZAKO ANABANDUA MZIGO tena kwa wototo weupe huwa zinajulisha ni lini alikandamizwa kwani inapokuwa nyeusi na kufifia ndipo unapojua ni lini hivyo anatakiwa aweke mpya kila siku shingoni
Mimi nawekaga uvunguni

za uvungu gani??
Me pia ni white kabisa design kama half cast lakini sio, mimi binafsi siwezi kabisa labda hizo za uvunguni.
 
Me nikimuona mwanaume analove bite nasisimka maana najua shughuli ilikuwa kubwa sana yan can't get the picture huyo mdada aliyemuweka alikuwa kwenye hali gani aaahhuu ha ha 🙂
 
Love bite, A hickey, kiss mark, love bite, or bug bite is a bruise or bruise like mark caused by the kissing or sucking of the skin, usually on the neck or arm. While biting might be part of giving a hickey, sucking is sufficient to burst superficial small blood vessels under the skin.

Hickeys typically last from five to twelve days and may be treated in the same way as other bruises. Ways to reduce the appearance of hickeys include icing recent hickeys to reduce swelling, rubbing them with a chilled spoon to break up blood clots, and applying a warm compress to older hickeys to dilate vessels and promote blood flow.

h0740DC1B
images

l-Love-bite.jpg

1346466056-screenshot.jpg

bite-your-eays-couple-love-man-woman-Favim.com-160857.jpg

hickey.jpg

love%20bite.jpg

binadamu wamegeuka mbwa hadi wanang'atana??
 
Love
bite, A hickey, kiss mark, love bite, or bug bite is a bruise or bruise
like mark
caused by the kissing or sucking of the skin,
usually on the neck or arm. While biting might be part of giving a
hickey, sucking is sufficient to burst superficial small blood vessels
under the skin.

Hickeys typically last from five to twelve days and may be treated in
the same way as other bruises. Ways to reduce the appearance of hickeys
include icing recent hickeys to reduce swelling, rubbing them with a
chilled spoon to break up blood clots, and applying a warm compress to
older hickeys to dilate vessels and promote blood flow.

h0740DC1B

images

l-Love-bite.jpg

1346466056-screenshot.jpg

bite-your-eays-couple-love-man-woman-Favim.com-160857.jpg

hickey.jpg

love%20bite.jpg

duh hiyo lovebite ya mwisho kama kangatwa na vampire!!!
 
[QUOTE

kwa hiyo Love bite ni kuwa KATA TAMAA MWENZAKO ANABANDUA MZIGO tena kwa
wototo weupe huwa zinajulisha ni lini alikandamizwa kwani inapokuwa
nyeusi na kufifia ndipo unapojua ni lini hivyo anatakiwa aweke mpya kila
siku shingoni
[/B][/QUOTE]

hizo swagga tu ula mwana,ke akimua kumegwa anamegwa tu mimi demu wangu wa zamani ambae sasa hivi mke wa mtu tena ana mtoto ananitaka tukumbushie kama zamani,
 
mmh i dont believe guys kama hamjuii hii au hamjawahi date wanawake weupe kidding. Anyways ni ile watu wapo wanafanya yao then wanang'atana shingoni

sasa waking'atana si itakuwa Love wounds na si love bite??? manake vitakuwa vidonda.
 
Nakumbuka first time demu wangu aliniambia nimeweke love bite nkawa simuelewi lol leo ndo nimepata darasa
 
Huu ushamba wangu utanicost siku moja, si nikagongwa love bite na kidem changu hapa juzi kati! Kidogo nikibanjue makofi, iliuma babake!!!
 
Wacha niendelee kuonekana mshamba tu Mnyamwezi mie, huo ndiyo ujinga gani sasa wamekuja nao hawa wa kizazi cha "TOUCH SCREEN"? Kung'atana shingoni kama ma-vampire ndiyo mapenzi? Hebu tupisheni na ujinga wenu huko!!
 
Naogopa BAN jukwaa hili tukutane lile la above 18 nikufundishe Cunningulus yaani mpaka mshindo utafika tena km nj Toto la Kimanga huwa hawachelewi kuuma popote mm bado nina makovu hayo sitasahau
za uvungu gani??
Me pia ni white kabisa design kama half cast lakini sio, mimi binafsi siwezi kabisa labda hizo za uvunguni.
 
ina raha zake !! wewe utajuaje km bint alikuwa na wake wakati unamsarandia?
Kwa watu weusi LoBite hamtapata ng'oooooooooooooooo
huo ni Uhuru wa mtu na ni sawa na mtu kuvaa chain mguuni hiyo ni kuonesha kuwa yeye ni .......
Au wengine kung'ang'ania kuvaa pete kidole cha mwisho cha Uchumba
,, ........,, ....... ,, kuvaa pete ya ndoa ni kukuonesha kuwa ana mwenzake

kwa hiyo Love bite ni kuwa KATA TAMAA MWENZAKO ANABANDUA MZIGO tena kwa wototo weupe huwa zinajulisha ni lini alikandamizwa kwani inapokuwa nyeusi na kufifia ndipo unapojua ni lini hivyo anatakiwa aweke mpya kila siku shingoni
Mimi nawekaga uvunguni

Kama sie wengine weusi kama jembe jipya hata akikung'ata hakuna kitu kinaonekana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom