Hivi kutembea na malove bite ni sifa au??

Hivi kutembea na malove bite ni sifa au??

Wacha niendelee kuonekana mshamba tu Mnyamwezi mie, huo ndiyo ujinga gani sasa wamekuja nao hawa wa kizazi cha "TOUCH SCREEN"? Kung'atana shingoni kama ma-vampire ndiyo mapenzi? Hebu tupisheni na ujinga wenu huko!!

Heri yako wewe ndugu yangu wa Usongelani uendelee hivyo hivyo maana haya mambo ni magumu maana kama wewe ni white kila ukikatiza sehemu wanakuona though kuna watu huwa hawazijui unaweza ukawaambia umetembelewa na mdudu
 
Ziko kama bagia hivi ila zenyewe zina sukari kidogo...
Hivi siku zote hawa jamaa walikuwa wanadhani hizoalama mtu Kanyongwa? au katembelewa na Nairobi fly? Baba V waeleweshe la sivyo watamaliza kurasa

love%20bite.jpg
 
Last edited by a moderator:
Love bite, A hickey, kiss mark, love bite, or bug bite is a bruise or bruise like mark caused by the kissing or sucking of the skin, usually on the neck or arm. While biting might be part of giving a hickey, sucking is sufficient to burst superficial small blood vessels under the skin.

Hickeys typically last from five to twelve days and may be treated in the same way as other bruises. Ways to reduce the appearance of hickeys include icing recent hickeys to reduce swelling, rubbing them with a chilled spoon to break up blood clots, and applying a warm compress to older hickeys to dilate vessels and promote blood flow.

h0740DC1B
images


l-Love-bite.jpg


1346466056-screenshot.jpg


bite-your-eays-couple-love-man-woman-Favim.com-160857.jpg


hickey.jpg


love%20bite.jpg


hakuna maumivu kwenye hayo mavitu? kuna maelezo kwamba yanatibika kwa barafu, haya yatakuwa mabo ya vijana wa 1990,s. Au hata sisi vijana wa makamo tunaweza fanya hayo mambo. na just imagine ofisini siku 12 nipo hivyo. mmmh hiyo kwangu ngumu,
 
sasa waking'atana si itakuwa Love wounds na si love bite??? manake vitakuwa vidonda.

si vidonda, wala haviumi ni pale inatokea mtu anaponyonywa kwa nguvu hasa mtu mweupe ndio inaacha hizo alama, watu weusi wengine matiti yao love bite zinaweza tokea pia
 
Nakumbuka first time demu wangu aliniambia nimeweke love bite nkawa simuelewi lol leo ndo nimepata darasa

sijakufundisha unde kuwawekea hii kwenye mashingo yao better umewekee kwenye matiti, mapajani au kiunoni
 
hatari,hatari nahisi hata kuumia aliumia.

haiumi wala ni pale mtu anaponyonywa mahali kwa nguvu kiasi design kama damu inajikusanya mahali pamoja pale aliponyonywa na kutengeneza kaweusi au wekendu
 
Huu ushamba wangu utanicost siku moja, si nikagongwa love bite na kidem changu hapa juzi kati! Kidogo nikibanjue makofi, iliuma babake!!!

ha ha ha alikuwezaje yan mwanamke mwingine akikuangalia tu hamu imuishe mwenyewe maana yaonesha aligegeda hivi karibuni
 
Naogopa BAN jukwaa hili tukutane lile la above 18 nikufundishe Cunningulus yaani mpaka mshindo utafika tena km nj Toto la Kimanga huwa hawachelewi kuuma popote mm bado nina makovu hayo sitasahau

bado una makavu hayo kwa muda gani??
 
Nawapa siri wanawake wengine ilikuficha hizi Love bite zisionekane unaweka scarf, au unazungushia mtandio shingoni kama sio kubwa sana waweza weka plasta. Its embarrassing really kuzunguka na Malove tho muda inawekwa waweza usijue coz unasikilizia tu raha ya kunyonywa baadae mkimaliza shughuli ndio unaona duuh. Na wanaume wengine akiwa anafika kileleni anapenda anyonye mahali basi akikamata shingoni ndio hizo zinazokuwa kubwa.
 
Hii ni kwa vijana wadogo kumbe? hii nahisi ilinipita na nikiona kwa vijana wadogo nitajua tu labda kang'atwa na mbung'o.
 
  • Thanks
Reactions: dtj
Dah wallah umentia genye nimemkumbuka cwty wangu aliniachia moja hyo imefutika juzi tu daaah
 
Mi ninayo ya sista yangu Mpaka Leo ninayo ,,nilimpiga akaniachia bite ndo ninayo sasa wewe Malaya jichanganye uni ng'ate uone makofi Kisa cha kutoana Damu ,,Mi ya sista tu ndo ninayo ,,Wengine Wasi thubuti Mi sipendi ujingaaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom