Hivi kutembea na malove bite ni sifa au??

Hivi kutembea na malove bite ni sifa au??

mmh i dont believe guys kama hamjuii hii au hamjawahi date wanawake weupe kidding. Anyways ni ile watu wapo wanafanya yao then wanang'atana shingoni
Hee! Kwahiyo kumbe huwa wanang'ata shingoni [emoji15] bora umetufungua macho wengne ni mashikolo mageni, kama ningekutana nayo kabla ya hpa ningejua kiama changu kimefika sasa nanyonywa damu [emoji23]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom