Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 7,242
- 12,762
Wakuu tax clearance ni lazima kuwa nayo unapoomba leseni ya biashara?
BRELA hawatoi leseni za biashara. Hivyo ni lazima uwe na tax clearance certificate Ili kupata leseni.Kama unachukulia leseni yako halmashauri, wanahitaji tax clearance.
Ila kama unaichujulia leseni yako brela hawahitaji
Kuna tofauti gani kati ta kusajiri biashara na jina la biasharaBRELA hawatoi leseni za biashara. Hivyo ni lazima uwe na tax clearance certificate Ili kupata leseni.
Nafikiri unamaanisha kusajili biashara ni kusajili kampuni yenye lengo la kufanya biashara, nikiwa na maana kampuni yenye wamiliki kupitia hisa, mfano Juma Company Ltd. Sasa baada ya kusajili kampuni, waweza kusajili jina la biashara, mfano Excellent Service Garage, kama kampuni yenu itafungua garage ya kutengeneza magari. Hii garage itakuwa inamilikiwa na kampuni na TIN itakayotumika ni ya kampuni .Kuna tofauti gani kati ta kusajiri biashara na jina la biashara
Nisaidie mawasiliano yako ya mkononi nikupgie unieleze zaid.Nafikiri unamaanisha kusajili biashara ni kusajili kampuni nikiwa na maana kampuni yenye wamiliki kupitia hisa, mfano Juma Company Ltd. Sasa baada ya kusajili kampuni, waweza kusajili jina la biashara, mfano Excellent Service Garage, kama kampuni yenu itafungua garage ya kutengeneza magari. Hii garage itakuwa inamilikiwa na kampuni na TIN itakayotumika ni ya kampuni .
Umejielekeza vibaya mkuu, nadhani ulipaswa kuuliza kuwa 'ni leseni gani/za namna gani hutolewa na brela?' Ingekua ni sahihi zaidiBRELA hawatoi leseni za biashara. Hivyo ni lazima uwe na tax clearance certificate Ili kupata leseni.
Sasa hapo ningekuwa najibu swali, au nauliza swali juu ya swali? Sahihisha basi maelezo.Umejielekeza vibaya mkuu, nadhani ulipaswa kuuliza kuwa 'ni leseni gani/za namna gani hutolewa na brela?' Ingekua ni sahihi zaidi
Upo sahihi kabisa, wanatoa haswa kwa makampuni na nikishawahi kuomba, wana system moja hv ya serikali nimeisahau kidg, ila biashara zingne unachukulia leseni halmashauri husika.Yes, badala ya kukanusha kuwa leseni za biashara hazitolewi BRELA ulipaswa kuomba ufafanuzi/au kuuliza ni leseni za namna gani hutolewa BRELA basi ungepewa majibu. Kimsingi BRELA nao hutoa leseni za biashara
Brela wanatoa leseni bwana. We sema level ya biashara yako ni ya leseni ya Halmashauri. Kwani Export License inatolewa na nani??BRELA hawatoi leseni za biashara. Hivyo ni lazima uwe na tax clearance certificate Ili kupata leseni.
Punguza ujuaji... vingine hujuiBRELA hawatoi leseni za biashara. Hivyo ni lazima uwe na tax clearance certificate Ili kupata leseni.
Brela wana kitengo kinahusika na leseni za biashara.BRELA hawatoi leseni za biashara. Hivyo ni lazima uwe na tax clearance certificate Ili kupata leseni.
Yaani pamoja na comments zote hapo juu bado hujajifunza?😂😂😂😂😂 mkuu yamkini wewe unajua kuwa BRELA wanafanya shughuli hiyo moja lakini wana majukumu mengi sanaaaaLeseni za biashara zinatolewa na halmashauri ya mji uliopo,Brela wanasajili makampuni tu.
Tatizo linakuja mtu taarifa ya kitu hana, ila pia anagoma hata kuuliza kwa upole, anapinga tu..tutafika tumechoka sana hahaMkuu punguza ujuaji.
Yaani pamoja na comments zote hapo juu bado hujajifunza? mkuu yamkini wewe unajua kuwa BRELA wanafanya shughuli hiyo moja lakini wana majukumu mengi sanaaaa
Jitahidi kabla ya kuongea au kuandika kitu uwe na uhakika nacho tofauti na hapo unajicholesha mbele ya watu.BRELA hawatoi leseni za biashara. Hivyo ni lazima uwe na tax clearance certificate Ili kupata leseni.
Mm binafsi ninayo lesen mbili za brela.Yes, badala ya kukanusha kuwa leseni za biashara hazitolewi BRELA ulipaswa kuomba ufafanuzi/au kuuliza ni leseni za namna gani hutolewa BRELA basi ungepewa majibu. Kimsingi BRELA nao hutoa leseni za biashara