Hivi kupata leseni ya biashara ni mpaka uwe na Tax clearance?

Kuna tofauti gani kati ta kusajiri biashara na jina la biashara
Nafikiri unamaanisha kusajili biashara ni kusajili kampuni yenye lengo la kufanya biashara, nikiwa na maana kampuni yenye wamiliki kupitia hisa, mfano Juma Company Ltd. Sasa baada ya kusajili kampuni, waweza kusajili jina la biashara, mfano Excellent Service Garage, kama kampuni yenu itafungua garage ya kutengeneza magari. Hii garage itakuwa inamilikiwa na kampuni na TIN itakayotumika ni ya kampuni .
 
Nafikiri unamaanisha kusajili biashara ni kusajili kampuni nikiwa na maana kampuni yenye wamiliki kupitia hisa, mfano Juma Company Ltd. Sasa baada ya kusajili kampuni, waweza kusajili jina la biashara, mfano Excellent Service Garage, kama kampuni yenu itafungua garage ya kutengeneza magari. Hii garage itakuwa inamilikiwa na kampuni na TIN itakayotumika ni ya kampuni .
Nisaidie mawasiliano yako ya mkononi nikupgie unieleze zaid.
 
BRELA hawatoi leseni za biashara. Hivyo ni lazima uwe na tax clearance certificate Ili kupata leseni.
Umejielekeza vibaya mkuu, nadhani ulipaswa kuuliza kuwa 'ni leseni gani/za namna gani hutolewa na brela?' Ingekua ni sahihi zaidi
 
Umejielekeza vibaya mkuu, nadhani ulipaswa kuuliza kuwa 'ni leseni gani/za namna gani hutolewa na brela?' Ingekua ni sahihi zaidi
Sasa hapo ningekuwa najibu swali, au nauliza swali juu ya swali? Sahihisha basi maelezo.
 
Yes, badala ya kukanusha kuwa leseni za biashara hazitolewi BRELA ulipaswa kuomba ufafanuzi/au kuuliza ni leseni za namna gani hutolewa BRELA basi ungepewa majibu. Kimsingi BRELA nao hutoa leseni za biashara
 
Upo sahihi kabisa, wanatoa haswa kwa makampuni na nikishawahi kuomba, wana system moja hv ya serikali nimeisahau kidg, ila biashara zingne unachukulia leseni halmashauri husika.
 
Mkuu punguza ujuaji.
Leseni za biashara zinatolewa na halmashauri ya mji uliopo,Brela wanasajili makampuni tu.
Yaani pamoja na comments zote hapo juu bado hujajifunza?😂😂😂😂😂 mkuu yamkini wewe unajua kuwa BRELA wanafanya shughuli hiyo moja lakini wana majukumu mengi sanaaaa
 
Mkuu punguza ujuaji.

Yaani pamoja na comments zote hapo juu bado hujajifunza? mkuu yamkini wewe unajua kuwa BRELA wanafanya shughuli hiyo moja lakini wana majukumu mengi sanaaaa
Tatizo linakuja mtu taarifa ya kitu hana, ila pia anagoma hata kuuliza kwa upole, anapinga tu..tutafika tumechoka sana haha
 
BRELA hawatoi leseni za biashara. Hivyo ni lazima uwe na tax clearance certificate Ili kupata leseni.
Jitahidi kabla ya kuongea au kuandika kitu uwe na uhakika nacho tofauti na hapo unajicholesha mbele ya watu.

Una uhakika kweli brela hawatoi lessen? Kama hujui sema tukusaidie
 
Yes, badala ya kukanusha kuwa leseni za biashara hazitolewi BRELA ulipaswa kuomba ufafanuzi/au kuuliza ni leseni za namna gani hutolewa BRELA basi ungepewa majibu. Kimsingi BRELA nao hutoa leseni za biashara
Mm binafsi ninayo lesen mbili za brela.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom