Leseni ya kukopesha mikopo midogo midogo

DBS

Member
Oct 3, 2023
34
97
Habari

Wakuu nauliza kuhusu namna ya kupata kibali ( leseni) ya kutoa mikopo midogo midogo kwa mtaji wa milion tano.

Hii ni baada ya kufatilia hii biashara nakuona inalipa hvo nawakaribisha kwa ushauri wowte ukiweno na huo wa garama za leseni kwa wale wenye uzoefu.

Natanguliza shukran.
 
Hiyo siyo mikopo midogo midogo bhana! Huku mtaani tunaiita mikopo ya kausha damu. Na ukifanikiwa kusajili, basi utambue fika mbinguni huendi.

Maana ili ufanikiwe kurudisha hela yako pamoja na faida, basi utatakiwa kuwa na uso wa mbuzi, mbabe, mkatili, na mtu usiyecheka na nyani.
 
Mbinguni na kusajili leseni ya mkopo kunahusianaj?
Nimeandika hapo juu ukifanikiwa kusajili! By the way, don't take everything in a serious way. Don't forget this is jamii forums. Nimekupa tu changamoto ya hiyo biashara pale utakapoanza kuifanya.
Yaani utakutana na changamoto za kutosha kutoka kwa wateja wasiopenda kurejesha marejesho yao kwa wakati, na kwa hiyari. Hivyo ni lazima uwe mkali.

Halafu ukitaka kusajili biashara kama hiyo, ingia Brela utakutana na maelekezo. Na vibali vingine vya hiyo biashara, utavipata
TRA na pia kwenye Halmashauri yako husika.
 
Mbinguni na kusajili leseni ya mkopo kunahusianaj?
Mkuu kama wewe ni mkristo au Muislamu angalia hapa chinu nakupa somoo..
Biblia na Quran vyote vimekataza kukopeshana kwa Riba..
Tukianza na Biblia mkuu anza kusome ezekiel 18:12-13..

Screenshot_20231006-150453.png

Bado tukisonga kwenye Mambo ya walawi 25:36-37

Screenshot_20231006-150819.png

Mkuu ndo maana Nasema ukitaka kuwa Tajiri Maybe uachane na Hizi dini ufokasi kwenye safari ya kuzimu tu kama wanavyosema wanaoamini....
Nakuongeza zaburi 15:1-5
Screenshot_20231006-151100.png
 
Baada ya kusajiliwa brela unaomba leseni BOT, mtaji wa kuanzia ni milioni 20. Sharti hiyo 20m hutakiwi kuwa imeikopa.
Kwa hiyo 5m fanya kuongezea 15m nyingine ili uwe na hadhi ya kupata leseni ya kuwa microcredit isiyochukua amana.
Ukitaka kuanza kupokea amana kama akina fin basi jipange upate 200m.
 
Mkuu kama wewe ni mkristo au Muislamu angalia hapa chinu nakupa somoo..
Biblia na Quran vyote vimekataza kukopeshana kwa Riba..
Tukianza na Biblia mkuu anza kusome ezekiel 18:12-13..

View attachment 2773564

Bado tukisonga kwenye Mambo ya walawi 25:36-37

View attachment 2773567

Mkuu ndo maana Nasema ukitaka kuwa Tajiri Maybe uachane na Hizi dini ufokasi kwenye safari ya kuzimu tu kama wanavyosema wanaoamini....
Nakuongeza zaburi 15:1-5
View attachment 2773575
Mtu anapotoa hoja jifunze kushambulia hoja na sio kumshambulia mtoa hoja
 
Ungesoma andiko lako la kwanza kuhus post yangu usingekua na haja ya kujitetea
Sijajitetea na wala siwezi kujitetea kwa chochote na wala sina Kitu cha kujitetea kwa sababu "I ain't owein' nobody, man"..
Najua kuna wakati hoja huuma inapojibiwa .....

Hoja yangu ilikuja baada ya Mdau mmoja kusema kuwa
Ukifanya biashara hiyo mbinguni huendi weww ukauliza hivi
Mbinguni na kusajili leseni ya mkopo kunahusianaj?
Then if Kama umecatch sana

Chill, bro! I was just connectin' those dots, not throwin' shade. Them verses?
They're like straight-up receipts. Ain't no personal beef here; it's all about the message, yo dig?
 
Sijajitetea na wala siwezi kujitetea kwa chochote na wala sina Kitu cha kujitetea kwa sababu "I ain't owein' nobody, man"..
Najua kuna wakati hoja huuma inapojibiwa .....

Hoja yangu ilikuja baada ya Mdau mmoja kusema kuwa
Ukifanya biashara hiyo mbinguni huendi weww ukauliza hivi

Then if Kama umecatch sana

Chill, bro! I was just connectin' those dots, not throwin' shade. Them verses?
They're like straight-up receipts. Ain't no personal beef here; it's all about the message, yo dig?
Jifunze kusoma hoja ya mtu na kuielewa inataka nin kabla ya kujibu

Ni waz ww ulisoma kujibu kwasabau tu hoja ilihitaji majibu
 
Back
Top Bottom