Kusajiri biashara na jina la biashara ni Vitu viwili tofauti.Kuna tofauti gani kati ta kusajiri biashara na jina la biashara
Kwa mfano Kama unataka kuuza madawa ya mifugo na vyakula vya mifugo, unaweza kusajiri jina lako la biashara brela mfano, FELIX VETENARY CENTRE.. Hapo utakuwa umemaliza brela
baada ya hapo ukaenda almashauri wakakupa lesen iliyo andikwa jina hilo.
Sasa kusajiri biashara Kuna anzia hapaa..., Madawa na vyakula vya mifugo viko chini Wizara ya mifugo. So unatakiwa kwenda ofcn kwao kusajiri biashara yako.
Utaenda watakupa form utailipia shs 10,000. Badae utafanya maombi ya kuomba kusajiriwa yaan Wizara ikutambue. Utalipia helf 40, uta ambatanisha na Lesen yako, na tin number, na mchoro wa ofc yako. Badae watakupa certificate utakuwa umesajiriwa biashara yako. Hipo mifano mingine tu watakupa wakuu hum.