Mshindaji
Member
- Oct 28, 2020
- 38
- 91
Namaanisha kuna watu wanaamini kuwa Lissu angekuwa Rais na Mbowe awe waziri mkuu kama alivyosema kuwa atakuwa waziri mkuu ndani ya saa 72 na akina sugu na Msigwa na Lema n.k wawe Mawaziri?
Khaa, hebu wakati mwingine tuwe serious. Kwasasa hakuna chama cha upinzani kinachoweza kushika dola hakipo. Vyama vya upinzani vilivyopo ni vya wasakatonge na wahuni tu. CCM inaendelea kuwa chama bora na smart hasa katika kipindi hiki cha awamu ya 5.
Nyendo za Magufuli zinanikumbusha kipindi cha Mwalimu, kiongozi aliyetamani kuona tukijitegemea kiuchumi, hakika Dr. Magufuli wewe ni Rais wapili smart baada ya Mwalimu Nyerere