Hivi kuna watu wanaiamini CHADEMA?

Hivi kuna watu wanaiamini CHADEMA?

Namaanisha kuna watu wanaamini kuwa Lissu angekuwa Rais na Mbowe awe waziri mkuu kama alivyosema kuwa atakuwa waziri mkuu ndani ya saa 72 na akina sugu na Msigwa na Lema nk wawe mawaziri?

Khaa, hebu wakati mwingine tuwe serious. Kwasasa hakuna chama cha upinzani kinachoweza kushika dola hakipo. Vyama vya upinzani vilivyopo ni vya wasakatonge na wahuni tu. CCM inaendelea kuwa chama bora na smart hasa ktk kipindi hiki cha awamu ya 5.

Nyendo za Mh Magufuli zinanikumbusha kipindi cha Mwalimu, kiongozi aliyetamani kuona tukijitegemea kiuchumi, hakika JPM wewe ni Rais wapili smart baada ya JKN
Kukiuka demokrasia , kuvuruga uchaguzi , kutumia dola kuzuia wananchi wasichague viongozi wanaowataka ndio sifa ya kuwa chama Bora ?
 
Back
Top Bottom