mama D
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 20,455
- 36,449
Uzuri hawana jipya, wahenga walisema "ada ya mja hunena, muungwana ni kitendo" 🤣🤣Mkuu pole kwa matusi yote utakayo pata😂😂 naamini akina erthrocyte.bujibuji.BAK.salary slip nk hawatakuacha hivihivi bila matusi kuntu coz ukweli unauma ja hawa ndugu zako hawapendi ukweli😂😂
Magufuli ni kama 💦💦ujue tuu kwamba usipoyaoga utayanywa
Mungu ibariki Tanzania 😍🇹🇿👍