Hivi kuna watu wanaiamini CHADEMA?

Hivi kuna watu wanaiamini CHADEMA?

Namaanisha kuna watu wanaamini kuwa Lissu angekuwa Rais na Mbowe awe waziri mkuu kama alivyosema kuwa atakuwa waziri mkuu ndani ya saa 72 na akina sugu na Msigwa na Lema nk wawe mawaziri?

Khaa, hebu wakati mwingine tuwe serious. Kwasasa hakuna chama cha upinzani kinachoweza kushika dola hakipo. Vyama vya upinzani vilivyopo ni vya wasakatonge na wahuni tu. CCM inaendelea kuwa chama bora na smart hasa ktk kipindi hiki cha awamu ya 5.

Nyendo za Mh Magufuli zinanikumbusha kipindi cha Mwalimu, kiongozi aliyetamani kuona tukijitegemea kiuchumi, hakika JPM wewe ni Rais wapili smart baada ya JKN
Mfumo wetu wa kupata viongozi kama nchi ni kupitia sanduku la kura, ambapo sera za vyama zinanadiwa kwa wananchi na mwisho wa siku huamua nani awaongoze.
 
Mimi nilisimamia uchaguzi, kituo changu matokeo yalikuwa hivi, Tundu Antipas Lissu kura 79 Magufuli kura 31 lakini matokeo yalibandikwa Tundu Antipas Lissu kura 6 Magufuli kura 370 . hapakuwa na uchaguzi ilikuwa ni ujinga tu.
Binafsi sina shaka kabisa na ulichokisema hapa. Hivi ndivyo ilivyokuwa. Huu haukuwa uchaguzi bali yalikuwa maigizo tu ya uchaguzi...

Mathalani, Mimi katika kata niliyosimamia wizi na uigizaji huu ulikuwa dhahiri shayiri kabisa...

Nitaeleza;

Kwamba amini usiamini, Mtendaji kata wala hakujisumbua kufanya compilation ya matokeo ya vituo vyote katika kata yake ili ampate mshindi wa udiwani na kumtangaza...

Kikawaida baada ya wasimamizi wa vituo vya kupigia kura kukamilisha kazi ya kuhesabu na ku - compile matokeo ya kituo, unayatangaza na kuyabandika nje ya kituo cha kupigia kura ukutani ili wananchi waone..

Baada ya hapo unabeba masanduku ya kura na fomu za matokeo zote udiwani, ubunge na urais hadi kwa msimamizi msaidizi uchaguzi wa kata. Naye atapokea matokeo ya kila kituo katika kata yake na kuyajumuisha na kisha kumtangaza diwani mshindi wa kata husika...

Sasa soma kwa makini hapa chini kilichotokea makao makuu ya kata niliyosimamia;

Kwamba, mpaka kufikia saa 5 usiku, karibu wasimamizi wote wa vituo vyote vya kata ile walishafika na kukabidhi fomu za matokeo ya udiwani..

Jambo lililotushangaza ni kuwa mpaka saa 7 ya usiku siku hiyo jamaa tulimuona akiwa yupo yupo tu. Tunamuuliza mbona huyajumuishi matokeo na kuwatangazia watu mshindi wa udiwani kisha waondoke zao?

Jamaa alikuwa anaguna guna tu. Kumbe alikuwa anasubiria matokeo ya kutumwa toka "somewhere" na baadaye akayabandika kuonesha mCCM ameshinda wakati huohuo sisi wasimamizi wa vituo tukiwa na picha kamili kabisa na uhakika wa 100% kuwa CHADEMA walishinda mafiga yote (udiwani, ubunge na Urais) katika kata X ile niliyosimamia mimi na wenzangu...

We were very shocked and surprised as well...!!

Later on wasimamizi wakuu wote wa vituo tukabebwa usiku uleule kwenda makao makuu ya Halmashauri ya wilaya kupeleka masanduku ya kura na fomu za matokeo ya kura za Ubunge na Urais...

Surprisingly, huko nako matokeo tuliyoyakuta na kutangazwa ni tofauti kabisa na uhalisia wa matokeo ya kwenye vituo vya kupigia kura tuliyokuwa nayo sisi...

That was too bad and disgusting in deed...

Ni KWELI na HAKIKA kuwa CCM walichakazwa vibaya sana ktk sanduku la kura kwenye uchaguzi mkuu wa tarehe 28/10/2020....

å CHADEMA na Tundu Lissu kwenye Urais alishinda kwa zaidi 70% ya kura zote...!

å CHADEMA kwenye ubunge, walishinda zaidi ya 60% ya majimbo yote...!!

å CHADEMA, walishinda udiwani kwa zaidi ya 60% ya kata zote Tanzania nzima...!!

### Hili halina shaka wala ubishi kuwa, Magufuli na CCM KAMWE hawakushinda uchaguzi huu...

### Hili halitapita hivi hivi. Karma lazima itaadhibu watu tu. Huwezi iba haki za watu ukaachwa na ukabaki kama ulivyo...!!
 
Namaanisha kuna watu wanaamini kuwa Lissu angekuwa Rais na Mbowe awe waziri mkuu kama alivyosema kuwa atakuwa waziri mkuu ndani ya saa 72 na akina sugu na Msigwa na Lema nk wawe mawaziri?

Khaa, hebu wakati mwingine tuwe serious. Kwasasa hakuna chama cha upinzani kinachoweza kushika dola hakipo. Vyama vya upinzani vilivyopo ni vya wasakatonge na wahuni tu. CCM inaendelea kuwa chama bora na smart hasa ktk kipindi hiki cha awamu ya 5.

Nyendo za Mh Magufuli zinanikumbusha kipindi cha Mwalimu, kiongozi aliyetamani kuona tukijitegemea kiuchumi, hakika JPM wewe ni Rais wapili smart baada ya JKN
Wewe mwenyewe unaamini kuwa watu wenye akili kubwa wote wanaiamini na wataendelea kuiamini CDM ndiyo sababu hambanduki hapa kuisema vibaya na kumsema vibaya Mwenyekiti wake -Mhe. Freeman Aikaeli Mbowe. Kwa taarifa yako hayupo kiongozi yoyote Tz ya sasa ana uwezo wa kuzungumza na is worth listening, nasema hakuna. Wengine wote ukiwasikiliza mwisho dk 2, umeshachoka
 
Mh, urongo mtupu, hamkubaligi kushindwa since multiparty imeanza, kituo gani hicho, mbona hamkukishtaki kituo, mm kituo Changu na around the area, lisu wenu amepigwa mchana kweupe.
Wakashtaki wapi? Kwa wezi wale wale wasioipenda chadema?
 
Chadema iko MOYONI mwa WATANZANIA....na itaendelea KUWEPO...na ndio MAANA kila kukicha mnatafuta namna ya kuisambaratisha....mpaka MAGOTI mnapiga kuwahadaa WANANCHI........WALK WITH HOPE IN YOUR HEART....CDM YOU LL NEVER WALK ALONE,
 
Yule Mwandishi wa habari wa ITV alipotaka kuongea na yule Mdosi alipewa za uso akaufyata...chezea kambale weyeeee
 
Lisu kaipa chadema hasara kubwa sana!

Kutoka wabunge 50 hadi 1
Kaikuta chadema imetawala kalibia majiji yote, naye akaiiingiza hasara ya kukosa hata manispaa mojaa jamaa kaambulia kijiji kimoja huko nkasi, baaaadae katafuta kiki ya kuondoka kwenda ugaibuni kukwepa lawama na aibuu
 
Nani ayaamini hayo mazezeta ya ufipa?

Kutoka kuwa na wabunge zaidi ya 50 hadi kuwa na mbunge mmoja alafu bado yanashangilia tu eti chama kiko imara.
Usijidanganye ndg, huo ujambazi wenu hautoweza kuiondoa CHADEMA mioyoni mwa waTz.
IPO na itaendelea kuwapo.
Mungekuwa na mvuto japo kidogo, msingehitaji kutumia vitisho, hila na unyang'anyi wa vyombo vya dola.
 
Mumetapatapaa, juuu ya wamama wale, sasa mumeamua kupoa wenyewe kama maji mtungini. Na kama mnaendesha chama kufuata mawazo ya huyo lisu, mtafutika mileleee.
Kwa 'umahili' huo, kwenye vigodoro unahili kupewa uenyekiti kabisa.
 
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
Lisu kaipa chadema hasara kubwa sana!

Kutoka wabunge 50 hadi 1
Kaikuta chadema imetawala kalibia majiji yote, naye akaiiingiza hasara ya kukosa hata manispaa mojaa jamaa kaambulia kijiji kimoja huko nkasi, baaaadae katafuta kiki ya kuondoka kwenda ugaibuni kukwepa lawama na aibuu
Kwa 'umahili' huo, kwenye vigodoro unahili kupewa uenyekiti kabisa.
Bla blaaa tuuu
 
Namaanisha kuna watu wanaamini kuwa Lissu angekuwa Rais na Mbowe awe waziri mkuu kama alivyosema kuwa atakuwa waziri mkuu ndani ya saa 72 na akina sugu na Msigwa na Lema nk wawe mawaziri?

Khaa, hebu wakati mwingine tuwe serious. Kwasasa hakuna chama cha upinzani kinachoweza kushika dola hakipo. Vyama vya upinzani vilivyopo ni vya wasakatonge na wahuni tu. CCM inaendelea kuwa chama bora na smart hasa ktk kipindi hiki cha awamu ya 5.

Nyendo za Mh Magufuli zinanikumbusha kipindi cha Mwalimu, kiongozi aliyetamani kuona tukijitegemea kiuchumi, hakika JPM wewe ni Rais wapili smart baada ya JKN
Upinzani mnaoutafuta soon mtaupata nyie
 
Back
Top Bottom