Hivi kuna watu wanaiamini CHADEMA?

Hivi kuna watu wanaiamini CHADEMA?

Mimi nilisimamia uchaguzi, kituo changu matokeo yalikuwa hivi, Tundu Antipas Lissu kura 79 Magufuli kura 31 lakini matokeo yalibandikwa Tundu Antipas Lissu kura 6 Magufuli kura 370 . hapakuwa na uchaguzi ilikuwa ni ujinga tu.
Kila mtu analijua hilo, hakuna kipindi Ccm imepata kura chache sana kama uchaguzi uliopita. Mpaka usiwe timamu upstairs ndiyo unaweza chagua Jiwe badala ya Lissu. Na ndiyo maana hata kuiba kura ilishindikanika ikabidi walete kura feki zao
 
Watu hawana Imani nayo tena, Ila Kuna baadhi ya nyumbu ndio bado wanaiamini.

👉Nyumbu pekee ndio bado wanaiamini CDM, na sio watu.
 
Hivi mtu anaanzaje kuichukia CCM?
Huwez kupendwa na Wote. Mungu mwenyewe kaumba binadam lakin wamo wanaomchukia.
CCM ni nani hata wasipendwe?

CCM sio perfect saaana. Kuchukiwa kupo.. kupendwa kupo. Hiyo ni nature ya binadamu.
 
Namaanisha kuna watu wanaamini kuwa Lissu angekuwa Rais na Mbowe awe waziri mkuu kama alivyosema kuwa atakuwa waziri mkuu ndani ya saa 72 na akina sugu na Msigwa na Lema nk wawe mawaziri?

Khaa, hebu wakati mwingine tuwe serious. Kwasasa hakuna chama cha upinzani kinachoweza kushika dola hakipo. Vyama vya upinzani vilivyopo ni vya wasakatonge na wahuni tu. CCM inaendelea kuwa chama bora na smart hasa ktk kipindi hiki cha awamu ya 5.

Nyendo za Mh Magufuli zinanikumbusha kipindi cha Mwalimu, kiongozi aliyetamani kuona tukijitegemea kiuchumi, hakika JPM wewe ni Rais wapili smart baada ya JKN

Hakuna binadamu anayejielewa anayeweza kukipenda chama kinacholiombea taifa majanga na kushabikia matatizo yanayotokea
 
Mh, urongo mtupu, hamkubaligi kushindwa since multiparty imeanza, kituo gani hicho, mbona hamkukishtaki kituo, mm kituo Changu na around the area, lisu wenu amepigwa mchana kweupe.
Vilikuwa vingi hatuna haja ya kushtaki vituo zaidi ya kusema ulikuwa ujinga na si uchaguzi mimi binafs ktk kituo changu marehemu wapatao 75 walipiga kura kwa Magufuli
 
Mimi nilisimamia uchaguzi, kituo changu matokeo yalikuwa hivi, Tundu Antipas Lissu kura 79 Magufuli kura 31 lakini matokeo yalibandikwa Tundu Antipas Lissu kura 6 Magufuli kura 370 . hapakuwa na uchaguzi ilikuwa ni ujinga tu.
Vipi kura za mbunge wako na diwani au hukuwa na habari nazo?

CHADEMA mnachekesha sana kura za wabunge wenu na madiwani huwa hamziongelei nyinyi Lissu tu
 
Hahaha Magufuli wakisema ndani ya kamati kuu ya ccm zipigwe kura za siri, anapata kura moja.

Yani hata akiiba kura atakuta sio zake.

Yani sio tu hapendwi hata kukubalika hakubaliki huko aliko.

Sasa CCM ndio hata hatuongei, imeoza.
 
Hahaha Magufuli wakisema ndani ya kamati kuu ya ccm zipigwe kura za siri, anapata kura moja.

Yani hata akiiba kura atakuta sio zake.

Yani sio tu hapendwi hata kukubalika hakubaliki huko aliko.

Sasa ccm ndio hata hatuongei, imeoza.
Kakudanganya nani? Pole mwaya🤣🤣
Magufuli ni kama 💦💦ujue tuu kwamba usipoyaoga utayanywa

Mungu ibariki Tanzania 😍🇹🇿👍
 
Ukimaliza siku zako unatakiwa kwanza kuoga
Namaanisha kuna watu wanaamini kuwa Lissu angekuwa Rais na Mbowe awe waziri mkuu kama alivyosema kuwa atakuwa waziri mkuu ndani ya saa 72 na akina sugu na Msigwa na Lema nk wawe mawaziri?

Khaa, hebu wakati mwingine tuwe serious. Kwasasa hakuna chama cha upinzani kinachoweza kushika dola hakipo. Vyama vya upinzani vilivyopo ni vya wasakatonge na wahuni tu. CCM inaendelea kuwa chama bora na smart hasa ktk kipindi hiki cha awamu ya 5.

Nyendo za Mh Magufuli zinanikumbusha kipindi cha Mwalimu, kiongozi aliyetamani kuona tukijitegemea kiuchumi, hakika JPM wewe ni Rais wapili smart baada ya JKN
 
Mkuu pole kwa matusi yote utakayo pata😂😂 naamini akina erthrocyte.bujibuji.BAK.salary slip nk hawatakuacha hivihivi bila matusi kuntu coz ukweli unauma ja hawa ndugu zako hawapendi ukweli😂😂
 
Tatizo lenu dharau

Mliambiwa na viongozi wenu mkishapiga kura mzilinde mita 200 mkaacha na kwenda kwny vijiwe vya viroba kusubiri mtangazwe washindi

Mkaambiwa andamaneni mkagoma… heshimuni viongozi wenu
KLMK ulitaka tumuamini mama wa familia yako ?
 
Kakudanganya nani? Pole mwaya🤣🤣
Magufuli ni kama 💦💦ujue tuu kwamba usipoyaoga utayanywa

Mungu ibariki Tanzania 😍🇹🇿👍
Hahaha 2015valituambia analala na ma fail kufanya teuzi akatuletea kina Makonda, this time nasikia hataki watu wa ccm ni hatari anasubiria vichwa vya CHADEMA.
 
Back
Top Bottom