Hivi kuna watu hapa duniani wana gubu kama watoto wa nje ya ndoa, watoto wa kambo, watoto wa mke mdogo na watoto wanaolelewa na ndugu?

Masikini yeyote ambaye hapendi kujishughulisha lazima awe na tabia za aina hiyo... Usiombe hali yako iwe nzuri kidogo alafu ukae karibu na ndugu wenye hali mbaya! Watakuandama kwa ubaya hadi ukome alafu walivyo wapumbavu wakipata matatizo wanaona ni haki yao wewe kuwasaidia🤣
 
Hawa ni wafalme na malkia wa kunung'unika muda wote, wanafiki wa kuchonganisha na muda wote huwa wanawaza jinsi gani mali zitakavyogawa.

Bastard children!!!
Hasty generalization logical fallacy.

Kuhusu bastards, kama unataka kwenda mwendo huo wa kuita watu bastards, mtu yeyote ambaye hajafanya DNA test anaweza kuwa bastard.

Yani wewe kama hujafanya DNA test unaweza kujiona mtoto wa ndoa, ukamdharau mtoto wa housegirl wenu, halafu wewe ukawa si mtoto wa huyo unayemsema baba yako halafu huyo mtoto wa housegirl ndiye akawa mtoto wa baba.
 
Hawa ni wafalme na malkia wa kunung'unika muda wote, wanafiki wa kuchonganisha na muda wote huwa wanawaza jinsi gani mali zitakavyogawa.

Bastard children!!!
Kataa Ndoa mko wapi mjibu maswali mana nyie ndio mnaongoza kuzaa na kuterekeza mitoto yenu inatuletes shida sisi wajomba huku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…