Hivi kuna watoto wa kishua ambao wapo JF?

sijafaham unachomaanisha lakini uelewe kuwa mimi si mtoto wa umri wenu. mtu aliye above 40s si wa kumfananisha na watoto wa humu ndani. sema tu sisi wengine tunapenda kujichanganya na kila umri mimi nimezaliwa early 70s
kumbee we ni wa kitambo sana
 
23517430_160915621175689_4901899338456485333_n.jpg
 
baada ya kufatilia nyuzi nyingi na mada nyingi zinazoanzishwa jf na wana jf........

hadi najiulizaga hivi humu jf kuna watoto wa kishua ambao tupo nao humu ndanii wanaotumia hili jukwaaa ninaposema watoto wa kishuaa nina maana mambo safi
KWANI MAKAMBA, RIZ1,KIMAMBE,LEMUTUZ NK SIO WATOTO WA KISHUA NA WAPO HUMU TUNAPISHANA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom