Hivi kuna tofauti gani kati ya laptop ndogo na kubwa?

G M S

JF-Expert Member
Mar 30, 2011
502
53
Wakuu naomba kujua tofauti kati ya hizi laptop kubwa na ndogo (kwa size) je ufanyaji kazi wake upo sawa au la!
 
Mkuu hebu jaribu kufafanua, kazi zako ni za aina gani.Kama ni typing reports and music in most cases, then unaweza ndogo tu.But kama ni mtu wa softwares na design. Go for the big one. Cha msingi usisahau tu kucheki specs before you buy. Isije ikawa ni computer kubwa but jinga.
 
ukubwa au udogo ni fasion tu...what matters is specifications mkuu!! isitoshe kuna issue ya mtu kuwa na mapenzi tu ni vitu...mfano mimi vile vidude vile (mini laptop) sivifagilii wala nini, mi nataka mashine yaani ukikaa nalo ofisini linakufunika kabisa...sio kama ni vile vidogo ni vibaya ila bai tu sivipendi...
 
ukubwa wa pua sometimes si wingi wa makamasi, utofauti mkubwa ni portability tu what matters is specification kama sijui nani alivyosema hapo awali. unaweza kuwa na komputa kubwa lakini hamna kitu yaani RAM 512, hdd 40 na processor speed 900ghz ukubwa wake hautokua na maana. vivyo hivyo hata kwa ndogo.

note: what matters ni processor speed, hdd and RAM ukubwa is uporn your interest ............................. ukipenda tipwatipwa haya ............... ukipenda vimodo haya......................... how to handle them is an issue.
 
Wakuu naomba kujua tofauti kati ya hizi laptop kubwa na ndogo (kwa size) je ufanyaji kazi wake upo sawa au la!

Unaweza kuwa na latop kubwa model ya mwaka 2005 utendaji wake na nguvu yake na uwezo wake(Yaani specs ) ikazidiwa hata na latop ndogo ya mwaka 2011. Kama alivyosema mdau sijui nini cha muhimu ni specs na lengo la matumizi.

Kama ni mtu wa ku move move portabiity ni muhimu soudogo unaweza kuwa ndo mpango mzima lakini kama matumizi ya laptop haya invovle movement nyingi then zaidi ya performance wide screen au wide keyboard ni muhimu pia
 
Last edited by a moderator:
nadhani mdau anazungumzia mini computers na laptops! Tofauti ni nyingi, kwanza resolution kwenye mini iko limited to 32bit, hata processor hufungwa intel atom or equivalent, kiutendaji mara nyingi mini ni kwa matumizi personal zaidi kama kutype, kusikiliza muziki na movies, lakini laptop ni zaidi ya hapo!
 
Kila kitu kinapokuwa kidogo ina maana wana-compact components, ila kuna components nyingine pia functions zake ziko limited na size. Huwezi kukuta processor ya zaidi ya 4 GHz kwenye mini laptop na HDD ya zaidi ya 600GB hivyo basi udogo au ukubwa unaendana na kazi unazotaka kufanya pamoja na uwezo wako.
 
ukubwa au udogo ni fasion tu...what matters is specifications mkuu!! isitoshe kuna issue ya mtu kuwa na mapenzi tu ni vitu...mfano mimi vile vidude vile (mini laptop) sivifagilii wala nini, mi nataka mashine yaani ukikaa nalo ofisini linakufunika kabisa...sio kama ni vile vidogo ni vibaya ila bai tu sivipendi...

dah kama ulivosema ni kweli,kuwa ni mapenzi ya m2. Mi makubwa hayo siyataki,napenda ki2 changu slim nd portable nakabeba hata na mkono mmoja,sio ukitaka kuhama mpaka ulikamate li laptop kubwa utafikiri jeneza. Inategemea 2 na ww mkuu
 
Mkuu hebu jaribu kufafanua, kazi zako ni za aina gani.Kama ni typing reports and music in most cases, then unaweza ndogo tu.But kama ni mtu wa softwares na design. Go for the big one. Cha msingi usisahau tu kucheki specs before you buy. Isije ikawa ni computer kubwa but jinga.

Hapo kwenye bold, yes. Pamoja na kujali tech specs, lakini kujua matumizi yako kutakusaidia kuamua iwapo unataka mini ama laptop kubwa. Kwa mfano mie na deal sana na michoro, na ya kwangu ina 14" na najisikia comfortable sana kuliko ningekuwa na ile ndogo ambayo siwezi kuona vitu kwa ukubwa ninaotaka.

dah kama ulivosema ni kweli,kuwa ni mapenzi ya m2. Mi makubwa hayo siyataki,napenda ki2 changu slim nd portable nakabeba hata na mkono mmoja,sio ukitaka kuhama mpaka ulikamate li laptop kubwa utafikiri jeneza. Inategemea 2 na ww mkuu
umeonaa eeeh!!!? mi nalipendaga likubwa sababu pamoja na kazi zangu mi ni mpenzi mkubwa wa gaming na movies sasa ukiweka fifa humu full mautamu yaani kama unachek live vile..au movie.... sio unaangalia muvi vijitu vidogooo mpaka uchungulie hivi au kama ni game watu wanaonekana kama vikatuni hivi....mimi no...ndo mana nikasema hii ni mapenzi ya mtu na mahitaji yake mwenyewe...ila performance always stand first!! yeah man...
 
Back
Top Bottom