Hivi kuna nini kati ya Clouds FM na Makonda?

Hivi kuna nini kati ya Clouds FM na Makonda?

Daudi Bashite Makonda
Paul Christian Makonda

Wote Hao Wana Mapenzi Mubashara Na Clouds (Mawingu)

Ila Kweli Mhimili Wa Bunge Na Mahakama Nao Umeshindwa Kumvuta Huyu Daudi Bashite Paul Christian Makonda Akajieleze
 
Napata tabu sana na naomba na wewe mtanzania Mwenye timamu unisaidie kutafakari hill swala.

Hii serikali ya awamu ya tano japo tunajua ni serikali ya kisanii na kila wanachosema na kufanya hawamaanishi lakini hili la sasa tulijadili.

Huyu Bashite a.k.a Makonda ameitwa bungeni akajibu tuhuma zinazomkabili amegoma tena kwa dharau, ameitwa mahakamani kwadharau amegoma!!!

Eti Leo hii anaitwa kwenye social Media haraka sana amekubali wito, hivi kuna nini kinaendelea kati ya hawa wasanii wawili, (Makonda vs Clouds)?

Jamani m nakasirika lakini sina chakufanya,

Hebu toa maoni yako tufanyeje tukomeshe huu ujinga unaendelea?? Inakera jamani
Hao clouds fm ndio makuwadi wake kwa Masogange.
 
Makonda ajiandae ijumaa aende mahakamani hizo mbembwe zake tutazijua mwisho wa safari.
Yani nimewadharau sana hao akina Ruge/Kusaga na Clouds kwa ujumla wao...

Wao ndio wanampa Daudi kichwa na airtime za kijinga wakati huyu mtu alipaswa awe amesharespond wito wa bungeni na Mahakamani.

Wakuu... kama Nchi sijui nini kifanyike sasa kwa huyu Daudi Bashite aka Paul Makonda...

It should be a Country move.. maana mamlaka yake ya uteuzi imegoma kumwajibisha. Nini kifanyike??
cc Pascal Mayalla, Salary Slip BAK Daudi Mchambuzi Francis12
 
Makonda, acha Sanaa za kitoto nenda ulikoitwa
 
Napata tabu sana na naomba na wewe mtanzania Mwenye timamu unisaidie kutafakari hill swala.
Hii serikali ya awamu ya tano japo tunajua ni serikali ya kisanii na kila wanachosema na kufanya hawamaanishi lakini hili la sasa tulijadili.

Huyu Bashite a.k.a Makonda ameitwa bungeni akajibu tuhuma zinazomkabili amegoma tena kwa dharau, ameitwa mahakamani kwadharau amegoma!!!
Eti Leo hii anaitwa kwenye social Media haraka sana amekubali wito, hivi kuna nini kinaendelea kati ya hawa wasanii wawili, (Makonda vs Clouds)?

Jamani m nakasirika lakini sina cha kufanya,
Hebu toa maoni yako tufanyeje tukomeshe huu ujinga unaendelea?? Inakera jamani
Clouds wamemwita ili ajibu tuhuma. Kama una swali lolote kwa h uyo unayemwita Bashite peleka Clouds. Clouds wanataka ukweli ufahamike na si kwamba wanafanya uisanii.
 
Kuna jiki na Omo kati ya Makonda na Clouds Fm ili mmoja asafishwe!
 
Kumbe kuna kaukabila mahali fulani kanafagiliwa na Godfather wake.
Halafu tunaambiwa tuwaombee kwa mungu.....
Aibu kwenu nyie akina Daudi na kaka yako......tunawalaani na kila mkipandacho ndicho mtakachovuna!
 
Clouds wamemwita ili ajibu tuhuma. Kama una swali lolote kwa h uyo unayemwita Bashite peleka Clouds. Clouds wanataka ukweli ufahamike na si kwamba wanafanya uisanii.

Wewe nimmoja Wa clouds group na unajua nyie ni wasanii
 
Nionavyo mimi:-

Actually CLOUDS ni kama team Serikali.

Wanafanya kazi kitafiti lakini wasiiudhi serikali hii tukufu kwa gharama yoyote ile.

Vijana wengi na viongozi wengi wa serikali wana uswaiba wa karibu watangazaji wa kituo hiki.

Ni kama watu wanaokutana kula, kupiga stori kijiwe kimoja na mambo mengine ya kiushkaji mitaani.

So wakimwita makonda, ni wapi hawezi chomoa. Kwakua anajua wale ni "wana."

Pengine kuliko vituo vingine nchini.
 
Back
Top Bottom