Abudu mtu na hata barabara mdekie au chukia sana mtu na muandike kila siku mpaka upate vidonda vya tumbo, mwisho wa siku No impact kwenye sanduku la kura. That's a fact of Tanzania' politics. Hilo hawalioni.TANGU KIPINDI CHA BUNGE LA KATIBA, CHADEMA MNAPAMBANA NA MAKONDA TU - HAMKATI TAMAA TU ?
kwani mheshimiea joseph mbilinyi( sugu) ni mjumbe wa kamati ya bunge inayohusu maadili???DAUDI BASHITE tunamjuwa sana wana DARE SALAAM....anapenda sana MEDIA ...BUNGENI anaogopa kuna SUGU kule atahoji habari ya KUPIMWA MARINDA...pia ataulizwa MALI ZAKE na Habari za VYETI...haendi NG'O na CLOUDS ndy mahala pake ...anapotafuta kiki ...mbona haendi TBC?
Daudi Bashite haogopi hiyo kamati ya maadili ya BUNGE....Bali hoja zilizowasilishwa dhidi YAKE hapo BUNGENI..ikiwamo ya SUGU ya KUPIMWA MARINDA...pamoja na VYETI FEKI....na KUJILIMBIKIZIA MALI....hivyo tu anachohofiakwani mheshimiea joseph mbilinyi( sugu) ni mjumbe wa kamati ya bunge inayohusu maadili???
[emoji56] [emoji56]
Ohoooo!!!kuna taratibu za kumwita mtoto wa mwenye nyumba ,
unaweza pewa notice
Ohoooo!!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]DAUDI BASHITE tunamjuwa sana wana DARE SALAAM....anapenda sana MEDIA ...BUNGENI anaogopa kuna SUGU kule atahoji habari ya KUPIMWA MARINDA...pia ataulizwa MALI ZAKE na Habari za VYETI...haendi NG'O na CLOUDS ndy mahala pake ...anapotafuta kiki ...mbona haendi TBC?
Umeielewa HOJA ya mleta HOJA!?Hakuna radio media inayokatazwa kumualika kiongozi yoyote sema wewe umezoea kusikiliza mawingu.
Ohoooo!!![emoji86][emoji86][emoji86][emoji86]Hao clouds fm ndio makuwadi wake kwa Masogange.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kila.za huhojiwa na vila.za wenzake
Ohooooo!!!Hii radio baba anaipenda hivyo mtoto lazima aiheshimu.
Sio Masugane tu...madada wengi wa mjini keshawamaliza..hao bongo movie ndy HAKUBAKISHA MTU.....inasemekana hata hivyo vita vya MADAWA ya KULEVYA ni vita vyake yeye na MGONI wake walikutana huko UZINIFUNI......kwa propaganda za vita vya MKOA MZIMA...Ohoooo!!![emoji86][emoji86][emoji86][emoji86]
Elimu ya bwana BASHITE ndo inamuongoza kufanya hayo anayofanya, kukubali wito wa clouds kukataa wito wa mahakamaNapata tabu sana na naomba na wewe mtanzania Mwenye timamu unisaidie kutafakari hill swala.
Hii serikali ya awamu ya tano japo tunajua ni serikali ya kisanii na kila wanachosema na kufanya hawamaanishi lakini hili la sasa tulijadili.
Huyu Bashite a.k.a Makonda ameitwa bungeni akajibu tuhuma zinazomkabili amegoma tena kwa dharau, ameitwa mahakamani kwadharau amegoma!!!
Eti Leo hii anaitwa kwenye social Media haraka sana amekubali wito, hivi kuna nini kinaendelea kati ya hawa wasanii wawili, (Makonda vs Clouds)?
Jamani m nakasirika lakini sina cha kufanya,
Hebu toa maoni yako tufanyeje tukomeshe huu ujinga unaendelea?? Inakera jamani
Hata wewe unatakiwa kuiheshimuOhooooo!!!
Usije kujikuta unaburuzwa mahakamani kwa tuhuma ya uchochezi.......Hao clouds fm ndio makuwadi wake kwa Masogange.