Domisian pascal
Member
- Feb 8, 2017
- 13
- 4
Hata usipo ukubali ndio unao kuongoza kama hutaki una hama nchi rais ni jpm
Ohoooo!!!jamaa ana mke mzuri sijui kwanini linakimbizana na makahaba.Sio Masugane tu...madada wengi wa mjini keshawamaliza..hao bongo movie ndy HAKUBAKISHA MTU.....inasemekana hata hivyo vita vya MADAWA ya KULEVYA ni vita vyake yeye na MGONI wake walikutana huko UZINIFUNI......kwa propaganda za vita vya MKOA MZIMA...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Elimu ya bwana BASHITE ndo inamuongoza kufanya hayo anayofanya, kukubali wito wa clouds kukataa wito wa mahakama
Sawa.Hata wewe unatakiwa kuiheshimu
Ohoooo!!!Ni TV iliyojaza failure wengi
Napata tabu sana na naomba na wewe mtanzania Mwenye timamu unisaidie kutafakari hill swala.
Hii serikali ya awamu ya tano japo tunajua ni serikali ya kisanii na kila wanachosema na kufanya hawamaanishi lakini hili la sasa tulijadili.
Huyu Bashite a.k.a Makonda ameitwa bungeni akajibu tuhuma zinazomkabili amegoma tena kwa dharau, ameitwa mahakamani kwadharau amegoma!!!
Eti Leo hii anaitwa kwenye social Media haraka sana amekubali wito, hivi kuna nini kinaendelea kati ya hawa wasanii wawili, (Makonda vs Clouds)?
Jamani m nakasirika lakini sina cha kufanya,
Hebu toa maoni yako tufanyeje tukomeshe huu ujinga unaendelea?? Inakera jamani
Ni TV iliyojaza failure wengi
[emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87]Ohoooo!!!
Napata tabu sana na naomba na wewe mtanzania Mwenye timamu unisaidie kutafakari hill swala.
Hii serikali ya awamu ya tano japo tunajua ni serikali ya kisanii na kila wanachosema na kufanya hawamaanishi lakini hili la sasa tulijadili.
Huyu Bashite a.k.a Makonda ameitwa bungeni akajibu tuhuma zinazomkabili amegoma tena kwa dharau, ameitwa mahakamani kwadharau amegoma!!!
Eti Leo hii anaitwa kwenye social Media haraka sana amekubali wito, hivi kuna nini kinaendelea kati ya hawa wasanii wawili, (Makonda vs Clouds)?
Jamani m nakasirika lakini sina cha kufanya,
Hebu toa maoni yako tufanyeje tukomeshe huu ujinga unaendelea?? Inakera jamani
DAUDI bado utoto unamsumbuwa....mambo haya hakuyapitia....Ohoooo!!!jamaa ana mke mzuri sijui kwanini linakimbizana na makahaba.
Mada imeeleweka vizuri, sema ww ndo hujaielewa, msipende kuja kutolea stress zenu humu, km una stress nenda MMU ndo sehemu salama ya kutolea stressMtu mzima kama wewe. Upo JF unaleta Pumba hii afu unasema umekasirika sioni mantiki. Ila uzoefu unaonekana ukivuta kitu au kunywa au kujidunga unajikuta bila sababu unajishangaa tu na kuuliza vitu havina hata mantiki. Huna ushahidi navyo kisa unachukua insta au humu. Nyie ndo watu msiojua umuhimu wa uchunguzi so siku wkisema wewe huna marinda kwa kusingiziwa ndo utakujua ubaya wa kuamka tu na kutoa mada zisizoeleweka
Nyie kalaga baho. Wenzenu wanachomeka na matangazo kibaoYani nimewadharau sana hao akina Ruge/Kusaga na Clouds kwa ujumla wao...
Wao ndio wanampa Daudi kichwa na airtime za kijinga wakati huyu mtu alipaswa awe amesharespond wito wa bungeni na Mahakamani.
Wakuu... kama Nchi sijui nini kifanyike sasa kwa huyu Daudi Bashite aka Paul Makonda...
It should be a Country move.. maana mamlaka yake ya uteuzi imegoma kumwajibisha. Nini kifanyike??
cc Pascal Mayalla, Salary Slip BAK Daudi Mchambuzi Francis12
Duhmkuu jiue tu usikasirike!
akuna namna!
Wewe ndo zuzuutahoji nini wakati huna cha kufanya!
wewe zuzu H.T.P
Usitetee hao clouds wewe,wao ni nani hadi wamhoji ajibu tuhuma!wataka sema clouds ni wa maana kuliko bunge na mahakama!acha mapenzi ya kitotoClouds wamemwita ili ajibu tuhuma. Kama una swali lolote kwa h uyo unayemwita Bashite peleka Clouds. Clouds wanataka ukweli ufahamike na si kwamba wanafanya uisanii.