Napata tabu sana na naomba na wewe mtanzania Mwenye timamu unisaidie kutafakari hill swala.
Hii serikali ya awamu ya tano japo tunajua ni serikali ya kisanii na kila wanachosema na kufanya hawamaanishi lakini hili la sasa tulijadili.
Huyu Bashite a.k.a Makonda ameitwa bungeni akajibu tuhuma zinazomkabili amegoma tena kwa dharau, ameitwa mahakamani kwadharau amegoma!!!
Eti Leo hii anaitwa kwenye social Media haraka sana amekubali wito, hivi kuna nini kinaendelea kati ya hawa wasanii wawili, (Makonda vs Clouds)?
Jamani m nakasirika lakini sina cha kufanya,
Hebu toa maoni yako tufanyeje tukomeshe huu ujinga unaendelea?? Inakera jamani