Kama kuna mwanaume asiyetia malaya dunia hii atakuwa si riziki au ana matatizo. Kumbuka hata watu safi kama tiger wood wanatia machangu. Na kwa uzoefu wangu kila safari za serikali tunapokua nje ya nchi au mikoani hakuna mwanaume rijali asiye kamata malaya huko awe mzee, ameoa au hajaoa. Si waziri, mbunge, dereva. Huwa tunatunziana siri mno huko kwenye vikao vya jioni baada ya seminas mikoani ambapo per diems zinatumika. Hii nakumwagia siri ndo hali halisi. Nawasikitikia wanawake wanaoachwa majumbani wakiamina the opposite. Na hii si kwamba mtu ana matatizo ya kutongoza, kwani hata ma handsome wenye hela na majina kama c.ronaldo, d.beckham, t. Woods, kobe bryant wameshawahi kukamata machangu. Na kuna nchi kama thailand ambazo kiongozi wa nje hukirimiwa kwa kupelekewa machangu vyumbani mwao. Na kuna viongozi hapa wameshaibiwa mali zao gesti na machangu. Napata tabu kuwaelewa wanaume wanaoponda huduma hii kongwe.
"You can either agree or disagree with the topic. Mtu mpumbavu badala ya kudiscuss hoja anamdiscuss mtoa hoja. Wewe toa maoni yako siyo ujadili mleta hoja. Kuna watu ndo kwenye muvi hawajui tofauti ya actor na character."