Braitfyucha
Senior Member
- Feb 22, 2019
- 163
- 187
"Ukitaka kitu kizuri lazima uwe mzuri"[emoji23][emoji23][emoji23],hivi kwa nini watu wenye sura ngumu wanakuwaga na akili?
NB: Sijasema wazuri hawana akili na wala sijamaanisha wenye sura ngumu wote wana akili
Hahahah
Tukimlilia mwisho wetu unakuwaje sasa
Naunga mkono hoja
Oyeeee
o
oyee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nipo hatua za mwisho kuwasiliana na mwanasheria wangu ili nikate rufaa. Hakuna msambaa mbaya aisee!
Wewe Manengelo lazima na wewe utakuwa kwenye lile kundi la wanawake wadhuriii wa jf! ipo siku tu tutawashindanisha. Ngoja tuendelee kutafuta kwanza wadhamini wa hilo shindano.
Mi mwenyewe nimehakiki mara mbili mbili Kama kweli ni yeye kapost
Ewaaaaa hahahhahahahahaWanawake mostly tunapendaga wanaume wababe desgn hii..huyu CAG ndo mfano
Kwa hiyo ukiona hutongozwi inamaana wewe ni mbayaHawatongozwi sana
Mweeeeh o level tuumesoma chemistry level gan mwenzangi[emoji16][emoji16]
HahahaNmeonana na wanawake kadhaa wa jf hasa wale wa ile segment ya @Loveconnect, aisee ni majanga. Wana akili sana lkn hawavutii kabisa.
Kama unaoa akili tafuta mchumba humu, kama unaangalia nyanja zingine kimbia haraka sana.
kwamba waliosoma science hatunaga nyamvutoππ..mm mwenyew nimesoma sayansi..wakafie frontππππππ
Ahhahahaahahahhahahakwamba waliosoma science hatunaga nyamvuto[emoji23][emoji23]..mm mwenyew nimesoma sayansi..wakafie front
ππππ mkuu basi Lily mimi ni mfupi halafu kabaya,nina kasura flani ivi kazito kama futari ya magimbi.Sijawahi kumuona msichana mwenye jina la Lily halafu ni mfupi! wewe utakuwa ni mmoja wa warembo wetu wa jf. Watu wafupi mara nyingi ni wale wenye majina ya Tabu, Shida, Sikujua, nk. (just kidding)