Hivi kuna member mrembo humu jf kumzidi member huyu?

Kwani tafsiri ya urembo kwenu wanaume huwa imekaaje sababu huwa saa nyingine napata ukakasi. Ni kwenye uvaaji, muonekano, kujiremba au eneo linalopigiwa picha ndio tafsiri ya urembo?

Naomba mniambie nami nipate mwanga kidogo.
 
Kwani tafsiri ya urembo kwenu wanaume huwa imekaaje sababu huwa saa nyingine linanipa ukakasi. Ni kwenye uvaaji, muonekano, kujiremba au eneo linalopigiwa picha ndio tafsiri ya urembo?

Naomba mniambie nami nipate mwanga kidogo.
Shogaangu emmyta mamboo
 
Aiseee kweli tunatofautiana...
wengine hatupendagi weupe tunapenda chocolate au wanaita maji ya kunde na ka chura kwa mbali...lakini wengine wanapenda weupe kweli tumetofautiana...
 
Mh tafsiri ya urembo inategemea na mwanaume na mwanaume lakini kwa mimi urembo ni ule wa ndani na sio nje lakini kwa mwenye mvuto kwangu huyo ndiyo mrembo wangu....kwa hiyo kila mtu na mrembo wake
 
Kwani tafsiri ya urembo kwenu wanaume huwa imekaaje sababu huwa saa nyingine napata ukakasi. Ni kwenye uvaaji, muonekano, kujiremba au eneo linalopigiwa picha ndio tafsiri ya urembo?

Naomba mniambie nami nipate mwanga kidogo.
hahahah
emmyta bwanaa,
Huyo hata kama angevaa gunia, na kujipaka mkaa bado ni kazuri tu.

Mtoa mada anataka umjibu, je yupo anaemzidi huyo?
Binafsi nasema ndio kwani wifi yako kajiunga humu wiki hii na kamzidi huyo sana tu
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…