Shogaangu emmyta mambooKwani tafsiri ya urembo kwenu wanaume huwa imekaaje sababu huwa saa nyingine linanipa ukakasi. Ni kwenye uvaaji, muonekano, kujiremba au eneo linalopigiwa picha ndio tafsiri ya urembo?
Naomba mniambie nami nipate mwanga kidogo.
Faiza foxy uwiiiii hhhhhWapo kama watano hivi nawajua
Nimekumiss shogaake vp shunie yupo wapi jomon hhhMmmh. Hahahahaaaaa
Aiseeeee. Poa bana.
hahahahKwani tafsiri ya urembo kwenu wanaume huwa imekaaje sababu huwa saa nyingine napata ukakasi. Ni kwenye uvaaji, muonekano, kujiremba au eneo linalopigiwa picha ndio tafsiri ya urembo?
Naomba mniambie nami nipate mwanga kidogo.
defn si ndo hiyo picha?Define Urembo kwanza halafu ndo tuendelee...!