Hivi kuna member mrembo humu jf kumzidi member huyu?

Hahaha japo paji la uso lishatengeneza ka six pack ka mbaali, ila huyu binti hafui dafu.
Kwa kuthibitisha hilo hebu tuwekee ile picha yako ya kipindi cha TANU
Nashukuru kwa kulitambua hilo
Nikiweka hapa picha zangu za enzi za TANU vijana watanisumbua PM wakidhani bado nimo wakati nishajiishia zangu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom