Hivi kuna member mrembo humu jf kumzidi member huyu?

hahahah
emmyta bwanaa,
Huyo hata kama angevaa gunia, na kujipaka mkaa bado ni kazuri tu.

Mtoa mada anataka umjibu, je yupo anaemzidi huyo?
Binafsi nasema ndio kwani wifi yako kajiunga humu wiki hii na kamzidi huyo sana tu
Hahahaaaaa. Haya bana Mangi naona umeamua kumtetea mleta uzi. Pia bora umemwambia kuwa wapo.

Msalimie huyo wifi yangu.
 
Tatizo lenu baadhi yenu mkiona rangi nyeupe ndio mnaita uzuri.
 
Kwani tafsiri ya urembo kwenu wanaume huwa imekaaje sababu huwa saa nyingine napata ukakasi. Ni kwenye uvaaji, muonekano, kujiremba au eneo linalopigiwa picha ndio tafsiri ya urembo?

Naomba mniambie nami nipate mwanga kidogo.
Urembo unategemeana na mtu mwenyewe.wengine uvaaji,Sura etc.

Ila mimi sasa wowowo.
 
Kwani tafsiri ya urembo kwenu wanaume huwa imekaaje sababu huwa saa nyingine napata ukakasi. Ni kwenye uvaaji, muonekano, kujiremba au eneo linalopigiwa picha ndio tafsiri ya urembo?

Naomba mniambie nami nipate mwanga kidogo.
Ukikumbuka ulicho mpendea mumeo, baasha ako, utapa jibu la ulembo wa mwanaume
 
Kwani tafsiri ya urembo kwenu wanaume huwa imekaaje sababu huwa saa nyingine napata ukakasi. Ni kwenye uvaaji, muonekano, kujiremba au eneo linalopigiwa picha ndio tafsiri ya urembo?

Naomba mniambie nami nipate mwanga kidogo.
Swali zuri Dada,kwangu tafsiri ya urembo ni muonekano asili wa mwanamke ,kama vile muombo ya mwili,sura na uvaaji mfano Mimi napenda mwanamke mrembo mwenye kuvaa starah hijab
 
Wapo wengi tu unapishana nao njiani Ila kuwajua ndio shughuli aisee
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom