Aaah Liz ukongwe at 23 ?Mhuu!Sasa Kloro embu sema kuna ubaya gani hata wakongwe kama mimi na mwenzangu tukiamua kujifungia ndani wiki moja?
Aaah Liz ukongwe at 23 ?Mhuu!Sasa Kloro embu sema kuna ubaya gani hata wakongwe kama mimi na mwenzangu tukiamua kujifungia ndani wiki moja?
mimi sipingi bana! ninachotaka kujua ni je na hiyo pia itaitwa fungate?, mada inazungumzia fungate na sio vacation za kawaida au safari za loliondoMhuu!Sasa Kloro embu sema kuna ubaya gani hata wakongwe kama mimi na mwenzangu tukiamua kujifungia ndani wiki moja?
mbona ile siri yetu nyengine nimeficha. naweza banaKama kawaida yako..yani kuficha siri kunakushinda kabisa?Ndo maana huitajiki magharibi wala mashariki..achilia mbali kusini na kaskazini.
Aaah Liz ukongwe at 23 ?
mbona ile siri yetu nyengine nimeficha. naweza bana
Kila kitu ni maamuzi.Kama wahusika wanaona wanataka/hitaji kufanya hivyo then acha wafanye hivyo.
mimi sipingi bana! ninachotaka kujua ni je na hiyo pia itaitwa fungate?, mada inazungumzia fungate na sio vacation za kawaida au safari za loliondo
Fungate lina uzuri wake mkuu. Fungate hata kama umezaa watoto 10 mchukue mkeo cku umpeleke fungate
Hii inwaweka nyie wawilim karibu zaidi na inaongeza mapenzi
hivi harusi ikiitwa msiba itakuwa sawa? :bored:Acha waite fungate!!Kwani nini kinapungua?:bored:Nasikia usingizi!
hivi harusi ikiitwa msiba itakuwa sawa? :bored:
Duuuh!Kama wenye harusi wanaona harusi yao ni sawa na msiba mimi na wewe ni nani mpaka tuwabishie?
Hiyo sio honeymoon ni Safari tu (vacation)Kuna jambo linanitatiza sana wana JF. Hivi kuna haja gani ya fungate pale ambapo wana ndoa walishakuwa na uhusiano wa kimapenzi kabla ya ndoa?? Nauliza hivi kwa kuwa kuna best yangu wa karibu ambaye alienda fungate na mkewe akiwa tayari na ujauzito wa kama miezi mitatu hivi! Kwa nini wasirudi home tu kwenda kupumzika??