Natafuta dawa ya kuacha pombe na Sigara

Tella Mande

JF-Expert Member
Jun 2, 2018
494
673
Wana JF,

Nina rafiki anasumbuliwa sana na ulevi na sigara na tayari vimemgharimu ajira yake na familia imeyumba sana.

Familia yake wamejaribu maombi, rehabilitation nk lakini bado.

Nasikia kuna dawa za mitishamba za kuacha pombe na sigara ila sijui wapi pa kuzipata.

hizi za maduka ya kisuna hazikumsaidia hivyo hizo tuziache

Anayejua msaada tafadhali.

Sent from my SM-N986B using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom