Hivi kumbe mwanamke nae ananuka mdomo?

Hivi kumbe mwanamke nae ananuka mdomo?

Leo nilikua napiga stori na mwanamke mmoja hivi kwenye basi khaa ananukaje mdomo? Kama sijaamini maana nimewazoea wanawake ni watu wasafi sasa.
Na haya mambo ya kutema jasho ni kwa wanaume tuu, alaa haya bana.

ETI ?
jf kiss.jpg
 
Duuuu katauwasha,,,maana ni kafupi na naonaga hakana hata boyfrnd ,,In short anajisikia inferior sana hasa kama mimi nikiwa naongea nae , yaani kila kitu nikiongea anasema ,,Niache dharau, ila Nitajaribu kuinama ni sense
mkuu hana kamvuto au figure flani ivi nzuri ya kututoa udenda? kanaonekana hakana kampani ndo maana hata hakajiswafi.
 
Hakuna binadamu anaezaliwa akiwa anafahamu kila kitu, kujifunza itatokana na malezi ya wazazi/walezi, shuleni pia kila siku unayoishi duniani unajifunza kitu mpaka pale unapoingia kaburini. Huyo uliyekutana nae labda alifiwa na wazazi akiwa mdogo hakupata mtu wa kumpa elimu ya awali kuhusu usafi wa mwili, shule uliyosoma kama ni zile St Kayumba zetu, mwalimu anawaza lini atalipwa mafao yake, huo muda wa kukufundisha wewe usafi wa kinywa autoe wapi. Usimlaumu, na siku nyingine ukikutana na mwingine wa aina hiyo, mfunze kama ni mwerevu.
Ni ngumu sana kumwambia mtu kuwa ananuka mdomo, hata kama umemzoea achilia mbali stranger.
 
Mbona mimi ninabinti ofisn ananuka mdomo na tunakaa nae,,ila naogopa kumwambia maana ni mtata? Pia Hanihusu,,Ila tu Tunakaa karibu ofsini, ,Tatizo ni mfupi na huwa hajiamini,,ila mi ninaduka la dawa hizo ila unashindwa nianzaje kumwambia,,na atajua tu labda navutia Biashara kila Wapo kabisa tena wananuka saana,,mi nahsi ni ugonjwa,
Go extra mail, nunu chip mpya ya simu, mtumie ujumbea mweleze yote, ukimaliza itupe.
 
Mkuu wanawake kwa suala la mdomo kunuka hawajambo.unakuta mwanamke anapiga mswaki asubuhi hadi kesho asubuhi unategemea nini hapo? Hawapigi mswaki mimi nishachunguza sana,unakuta mwanamke mnalala hadi asubuhi lakini usiku hakupiga mswaki na pia asubuhi anavoondoka pia hapigi mswaki,na kumwambia mtu kwamba ananuka mdomo ni kazi sana hata umzoee vipi
 
pengine ni ugonjwa tuu Mkuu huwez jua
Mkuu asilimia kubwa sio ugonjwa bali ni wachafu tu.lala na demu kwako harafu utaona kama atakumbusha mswaki.sasa mtu anapiga mswaki leo asubuhi hadi kesho tena asbuhi unategemea ni ugonjwa huo? Ni wachafu tu
 
Mkuu wanawake kwa suala la mdomo kunuka hawajambo.unakuta mwanamke anapiga mswaki asubuhi hadi kesho asubuhi unategemea nini hapo? Hawapigi mswaki mimi nishachunguza sana,unakuta mwanamke mnalala hadi asubuhi lakini usiku hakupiga mswaki na pia asubuhi anavoondoka pia hapigi mswaki,na kumwambia mtu kwamba ananuka mdomo ni kazi sana hata umzoee vipi
kwani wewe huwa unaswaki mkuu kwa ratiba yako hiyo?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom