Hivi kumbe mwanamke nae ananuka mdomo?

Hivi kumbe mwanamke nae ananuka mdomo?

Mbona mimi ninabinti ofisn ananuka mdomo na tunakaa nae,,ila naogopa kumwambia maana ni mtata? Pia Hanihusu,,Ila tu Tunakaa karibu ofsini, ,Tatizo ni mfupi na huwa hajiamini,,ila mi ninaduka la dawa hizo ila unashindwa nianzaje kumwambia,,na atajua tu labda navutia Biashara kila Wapo kabisa tena wananuka saana,,mi nahsi ni ugonjwa,
Inawezekana hajui ka ananuka, pia nawe unaweza ukawa unanuka na wenzako washakuanzishia uzi fb.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom