Huyu mama Cv yake naikubali, haya aliyoyasema bungeni kuhusu Dkt UL ni siasa tu wala sio ufinyu wa elimu.ADE na PGD ni elimu za juu na zinazotambulika. Unaweza ukawa mhandisi bila kupitia UDSM(COET), kuna vyuo kama DIT, MIST na vingine vinavyotoa elimu ya kihandisi. Ukienda pale Bodi ya wahandisi - pamba Road utapata maelezo kamili.
Huyu stela mimi namfahamu udhaifu wake tangu akiwa technical college hadi alipofika pale TANESCO, ila kwa vile nimeshakuwa mzee wa busara siwezi kuyaandika hapa. Nadhani ni kutokana na udhaifu huo ndiyo maana alitanguliza hiyo title Injinia Manyanya ili kuuficha. Ni kawaida ya watu dhaifu kujenga wigo wa kujikinga ili wenye nguvu wasiwakaribie, ndiyo maana sishangai wingi wa titles za "Dakta" miongoni mwa wanasiasa wa CCM.
unaweza kuwa msomi lakini ukakosa busara na hekima. na ndivyo alivyo Stella Manyanya.
Ni kweli mkuu huyu mama anajificha na id ya uinjinia Kama wengi wetu na id feki hapa jfHuyu stela mimi namfahamu udhaifu wake tangu akiwa technical college hadi alipofika pale TANESCO, ila kwa vile nimeshakuwa mzee wa busara siwezi kuyaandika hapa. Nadhani ni kutokana na udhaifu huo ndiyo maana alitanguliza hiyo title Injinia Manyanya ili kuuficha. Ni kawaida ya watu dhaifu kujenga wigo wa kujikinga ili wenye nguvu wasiwakaribie, ndiyo maana sishangai wingi wa titles za "Dakta" miongoni mwa wanasiasa wa CCM.
wataaluma hivi kuna tofauti gani kati ya shahada ya sayansi ya uhandisi (BSc (Eng)) na shahada ya uhandisi (B. Eng)???Sio lazima utokee Coet! Hata Dit, Mist, Arusha, St Josef wanatoa wahandisi!
Umekandamiza kiukwelikweli.Huyu stela mimi namfahamu udhaifu wake tangu akiwa technical college hadi alipofika pale TANESCO, ila kwa vile nimeshakuwa mzee wa busara siwezi kuyaandika hapa. Nadhani ni kutokana na udhaifu huo ndiyo maana alitanguliza hiyo title Injinia Manyanya ili kuuficha. Ni kawaida ya watu dhaifu kujenga wigo wa kujikinga ili wenye nguvu wasiwakaribie, ndiyo maana sishangai wingi wa titles za "Dakta" miongoni mwa wanasiasa wa CCM.