Hivi kuitwa Engineer ni lazima usome UDSM? Nendeni ERB ( Bodi ya wahandisi) utaujua ukweli | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi kuitwa Engineer ni lazima usome UDSM? Nendeni ERB ( Bodi ya wahandisi) utaujua ukweli

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Reub, Jul 3, 2012.

 1. R

  Reub Member

  #1
  Jul 3, 2012
  Joined: Jul 3, 2012
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ukweli kuhusu Eng stella manyanya
   
 2. Fredrick Sanga

  Fredrick Sanga JF-Expert Member

  #2
  Jul 3, 2012
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 3,148
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Kasoma wapi? sio UDSM?
   
 3. R

  Reub Member

  #3
  Jul 3, 2012
  Joined: Jul 3, 2012
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huyu mama Cv yake naikubali, haya aliyoyasema bungeni kuhusu Dkt UL ni siasa tu wala sio ufinyu wa elimu.ADE na PGD ni elimu za juu na zinazotambulika. Unaweza ukawa mhandisi bila kupitia UDSM(COET), kuna vyuo kama DIT, MIST na vingine vinavyotoa elimu ya kihandisi. Ukienda pale Bodi ya wahandisi - pamba Road utapata maelezo kamili.
   
 4. R

  Reub Member

  #4
  Jul 3, 2012
  Joined: Jul 3, 2012
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  No, unapotoka. Kama UDSM na wale wa Cambridge je? Compare.
   
 5. mhalisi

  mhalisi JF-Expert Member

  #5
  Jul 3, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 1,181
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 0
  unaweza kuwa msomi lakini ukakosa busara na hekima. na ndivyo alivyo Stella Manyanya.
   
 6. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #6
  Jul 3, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,329
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  Sio lazima utokee Coet! Hata Dit, Mist, Arusha, St Josef wanatoa wahandisi!
   
 7. Kichuguu

  Kichuguu Platinum Member

  #7
  Jul 3, 2012
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 7,203
  Likes Received: 867
  Trophy Points: 280
  Huyu stela mimi namfahamu udhaifu wake tangu akiwa technical college hadi alipofika pale TANESCO, ila kwa vile nimeshakuwa mzee wa busara siwezi kuyaandika hapa. Nadhani ni kutokana na udhaifu huo ndiyo maana alitanguliza hiyo title Injinia Manyanya ili kuuficha. Ni kawaida ya watu dhaifu kujenga wigo wa kujikinga ili wenye nguvu wasiwakaribie, ndiyo maana sishangai wingi wa titles za "Dakta" miongoni mwa wanasiasa wa CCM.
   
 8. Kiraka

  Kiraka JF-Expert Member

  #8
  Jul 3, 2012
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 2,562
  Likes Received: 619
  Trophy Points: 280
  Kichuguu shukrani kwa kumaliza....
   
 9. Mwananzuoni

  Mwananzuoni JF-Expert Member

  #9
  Jul 3, 2012
  Joined: Apr 22, 2009
  Messages: 288
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  Hata wengine tunashangaa, Anayejiita Mhandisi Stella Manyanya nafikiri akili zake kwa sasa zimetumika na kubaki majivu tu. Maneno aliyoongea jana si ya kuongea mbele ya Umma kama vile.
   
 10. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #10
  Jul 3, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,201
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Ni kweli mkuu huyu mama anajificha na id ya uinjinia Kama wengi wetu na id feki hapa jf
   
 11. Mtanzania1

  Mtanzania1 JF-Expert Member

  #11
  Jul 3, 2012
  Joined: Dec 30, 2010
  Messages: 1,169
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 133
  wataaluma hivi kuna tofauti gani kati ya shahada ya sayansi ya uhandisi (BSc (Eng)) na shahada ya uhandisi (B. Eng)???
   
 12. NdasheneMbandu

  NdasheneMbandu JF-Expert Member

  #12
  Jul 3, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 940
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Umekandamiza kiukwelikweli.
   
Loading...