Hivi kuitwa Engineer ni lazima usome UDSM? Nendeni ERB ( Bodi ya wahandisi) utaujua ukweli

Huyu mama Cv yake naikubali, haya aliyoyasema bungeni kuhusu Dkt UL ni siasa tu wala sio ufinyu wa elimu.ADE na PGD ni elimu za juu na zinazotambulika. Unaweza ukawa mhandisi bila kupitia UDSM(COET), kuna vyuo kama DIT, MIST na vingine vinavyotoa elimu ya kihandisi. Ukienda pale Bodi ya wahandisi - pamba Road utapata maelezo kamili.
 
unaweza kuwa msomi lakini ukakosa busara na hekima. na ndivyo alivyo Stella Manyanya.
 
Sio lazima utokee Coet! Hata Dit, Mist, Arusha, St Josef wanatoa wahandisi!
 
Huyu stela mimi namfahamu udhaifu wake tangu akiwa technical college hadi alipofika pale TANESCO, ila kwa vile nimeshakuwa mzee wa busara siwezi kuyaandika hapa. Nadhani ni kutokana na udhaifu huo ndiyo maana alitanguliza hiyo title Injinia Manyanya ili kuuficha. Ni kawaida ya watu dhaifu kujenga wigo wa kujikinga ili wenye nguvu wasiwakaribie, ndiyo maana sishangai wingi wa titles za "Dakta" miongoni mwa wanasiasa wa CCM.
 
Kichuguu shukrani kwa kumaliza....
 
unaweza kuwa msomi lakini ukakosa busara na hekima. na ndivyo alivyo Stella Manyanya.

Hata wengine tunashangaa, Anayejiita Mhandisi Stella Manyanya nafikiri akili zake kwa sasa zimetumika na kubaki majivu tu. Maneno aliyoongea jana si ya kuongea mbele ya Umma kama vile.
 
Huyu stela mimi namfahamu udhaifu wake tangu akiwa technical college hadi alipofika pale TANESCO, ila kwa vile nimeshakuwa mzee wa busara siwezi kuyaandika hapa. Nadhani ni kutokana na udhaifu huo ndiyo maana alitanguliza hiyo title Injinia Manyanya ili kuuficha. Ni kawaida ya watu dhaifu kujenga wigo wa kujikinga ili wenye nguvu wasiwakaribie, ndiyo maana sishangai wingi wa titles za "Dakta" miongoni mwa wanasiasa wa CCM.
Ni kweli mkuu huyu mama anajificha na id ya uinjinia Kama wengi wetu na id feki hapa jf
 
Huyu stela mimi namfahamu udhaifu wake tangu akiwa technical college hadi alipofika pale TANESCO, ila kwa vile nimeshakuwa mzee wa busara siwezi kuyaandika hapa. Nadhani ni kutokana na udhaifu huo ndiyo maana alitanguliza hiyo title Injinia Manyanya ili kuuficha. Ni kawaida ya watu dhaifu kujenga wigo wa kujikinga ili wenye nguvu wasiwakaribie, ndiyo maana sishangai wingi wa titles za "Dakta" miongoni mwa wanasiasa wa CCM.
Umekandamiza kiukwelikweli.
 
Back
Top Bottom