eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,355
- 16,401
- Thread starter
- #21
So adhabu inatuhusu kwa kua tumekua vichwa ngumuNi dhambi maana Mungu amesema usizini

Mithali 6 : 32 " Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa. Afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake. "Tena Biblia inasema nimesahau mstari kwamba aziniye Hana akili kabisa.
Hapa nifafanue kidogo ndoa zinazotambulika ni zile ambazo umekwisha toa mahari au kutolewa Mahari ile ya kanisani au msikitini inakua ya kubariki ndoa yenyewe tu
Sasa tuje kwenye swali ni kosa kufanya ngono nnje ya ndoa ?
Na kama ni kosa mbele za mungu basi adhabu inatuhusu sisi ambao hatujafunga ndoa achilia mbali kubariki ndoa
Na wale walioko kwenye ndoa ambao walifanya ngono kabla ya ndoa nao adhabu inawahusu hakuna kukwepa kwa kua naamini hakuna alietubu
Na hapa ndipo tunapomletea mungu dharau tumeshindwa kua imara kabisa katika eneo hili
Hapa kupindua inakua ni ngumu na sijui kama kuna mtu yeyote amefaulu huu mtihani sijui labda mjipendekeze tu hapa
Mithali 6 : 32 " Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa. Afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake. "
Sasa itakuaje maana asilimia 80% ya watu tumezini kabla yaaa
Mbona huu mstari una utata sasa tunatakiwa tuzini na akina naniMithali 6 : 32 " Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa. Afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake. "
Unatakiwa usiziniMbona huu mstari una utata sasa tunatakiwa tuzini na akina nani
Unatakiwa usizini[/QUOTE
Kwani nyie imewaacha
Hapa nifafanue kidogo ndoa zinazotambulika ni zile ambazo umekwisha toa mahari au kutolewa Mahari ile ya kanisani au msikitini inakua ya kubariki ndoa yenyewe tu
Sasa tuje kwenye swali ni kosa kufanya ngono nnje ya ndoa ?
Na kama ni kosa mbele za mungu basi adhabu inatuhusu sisi ambao hatujafunga ndoa achilia mbali kubariki ndoa
Na wale walioko kwenye ndoa ambao walifanya ngono kabla ya ndoa nao adhabu inawahusu hakuna kukwepa kwa kua naamini hakuna alietubu
Na hapa ndipo tunapomletea mungu dharau tumeshindwa kua imara kabisa katika eneo hili
Hapa kupindua inakua ni ngumu na sijui kama kuna mtu yeyote amefaulu huu mtihani sijui labda mjipendekeze tu hapa
Hapa nifafanue kidogo ndoa zinazotambulika ni zile ambazo umekwisha toa mahari au kutolewa Mahari ile ya kanisani au msikitini inakua ya kubariki ndoa yenyewe tu
Sasa tuje kwenye swali ni kosa kufanya ngono nnje ya ndoa ?
Na kama ni kosa mbele za mungu basi adhabu inatuhusu sisi ambao hatujafunga ndoa achilia mbali kubariki ndoa
Na wale walioko kwenye ndoa ambao walifanya ngono kabla ya ndoa nao adhabu inawahusu hakuna kukwepa kwa kua naamini hakuna alietubu
Na hapa ndipo tunapomletea mungu dharau tumeshindwa kua imara kabisa katika eneo hili
Hapa kupindua inakua ni ngumu na sijui kama kuna mtu yeyote amefaulu huu mtihani sijui labda mjipendekeze tu hapa
Je mbele za mungu ni kosa?Hakuna kitu kinaitwa dhambi bali ni mambo ya kibanadamu. kufanya mapenzi ni lazima kwa binadamu aliyekamilika ili kuleta vizazi duniani. jiulize kwanini mwanamke anatoa mayai kila mwezi
kaka tunatakiwa tuzini na mabint sio wanawake...Mbona huu mstari una utata sasa tunatakiwa tuzini na akina nani
amri ni amri ukishaambiwa acha unaacha hamnaNi dhambi kufanya Ngono kabla ya ndoa bt kuna mambo meng kabla ya Ndoa yenyewe so Mungu aliyajua yote ndo mana akaweka vitubio' yaan kuungama dhambi, so kama shetan alikuburuza ukafanya tendo la ndoa kabla inabid Utubu kabla ya kuingia kwenye tendo la kufunga ndoa
Nini tofauti ya uzinzi na uasherati katika bibilia?