Hivi kufanya ngono kabla ya ndoa ni dhambi?

Hivi kufanya ngono kabla ya ndoa ni dhambi?

hapo pamenipa utata kidogo.so kumbe mie sina dhambi ya uzinzi?katika zile amri hakuna hata moja inayosema usifanye uasherati.au unamaanisha nini dada?
 
ni dhambi kubwa mno kwani unafanya ndani ya mwili na sio nje ya mwili

Imeandikwa, Mathayo 5:28 "Lakini mimi nawaambia kila mtu atazamaye
mwanake kwa kutamani amekwisha kuzini naye moyoni mwake."
Amuangaliaye mwanamke kwa tamaa amekwisha kuzini nae moyoni
 
Nini tofauti ya uzinzi na uasherati katika bibilia?
Sioni tofauti ila inawezekana uasherati ni kwa wale wanatoka nnje ya ndoa zao na uzinzi ni sisi vijana ambao hatujaoa ila tunapenda sana ngono
 
Hilo ni swali gani?
Wewe ni dini gani ambaye hadi sasa hujalitambua hilo?
Hudhuria ibada na mawaidha/ mahubiri utapata jibu.
 
Ndoa ni makubaliano yenu bana.... hakuna dhambi hapo!
 
Hivi Kama mtu na mpenzi wake ambaye hawajafunga ndoa kanisan/msiktn n.k lakini wamekubaliana kwamba wao ni mke na mume je kuna dhambi hapo?au wakimuomba Mungu awabariki lakini suyo kupitia kanisa/msikiti kuna dhambi hapo?
 
Hivi mgombea kuingilia kazi ya mwenyekiti wa wa tume ya uchaguzi na kujitangazia matokeo ni dhambi?
Siyo dhambi kwa mgombea kutoa matokeo ambayo yamekwisha tangazwa na kubandikwa kwenye vituo vya kupigia kura
 
Back
Top Bottom